Asha (47) ahukumiwa kifungo cha maisha jela kwa kumbaka mvulana wa miaka 15

Sura ya Asha
20240404_212536.jpg
 
na mashine ikiingia ndani yote ikoje?
Kuumbuka: hapa mwanaume ndo kafanyiwa hili tendo.
Mwanaume kwa namna yoyote habakwi na mwanamke.
HÌi ni kulingana na tafsiri au kulingana na sheria mkuu.

Ili mtu abakwe lazma vitu hivi viwepo
1. Kukosekana kwa ridhaa
2. Uume wa mbakaji uingie kwenye uke wa mwanamke.[hapa ndipo inagoma kwa upande wa mwanaume] ndo kwa mwanaume inaitwa shambulio la aibu
 
Bora wamfunge tu, ingawa huenda hana akiri timamu, maana miaka 15 hata hajui kumkojoza mwanamke, ye alifata nini wakati kuna ma rijali wanaita kila anaekatisha mbele yao?
Kuna madogo miaka 15 ana dudu la maana ambalo akikutana na mwanamke mtu mzima anampelekea moto fresh tu.
 
Bora wamfunge tu, ingawa huenda hana akiri timamu, maana miaka 15 hata hajui kumkojoza mwanamke, ye alifata nini wakati kuna ma rijali wanaita kila anaekatisha mbele yao?
Huko kusini si kuna mambo ya jandoni wanafunzwa kila kitu,huko vitoto kuwa na vitoto kawaida sana!
 
kwa mwanamke inaitwa shambulio la aibu ila kwa mwanaume hapo ingesomeka ubakaji.
ajabu..!
Akipata mwanasheria mahiri anachomoka .
Kwanza shambulio la aibu ni kumfanyia unyanyasaji mwanamke/au mwanaume hadharani,,mfano dunga dunga.

Na adhabu ya dunga dunga ni kulipa pesa ya sabuni kwa victim na sio kumpiga mvua ya miaka maisha..
Shitaka lilikosewa.
 
Mahakama ya Wilaya ya Mtwara, imemhukumu kifungo cha maisha jela, Asha Chanchoni (47) kwa kosa la shambulio la aibu, baada ya kubainika kujihusisha kimapenzi na mvulana mwenye umri wa miaka 15.

Hukumu hiyo imetolewa na Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama hiyo, Lucas Jang’andu, ambapo amesema Mahakama imethibitisha bila kuacha shaka kuwa mwanamke huyo alikuwa akijihusisha kimapenzi na mvulana huyo.
ukute Asha alikua anafunga mwez mtukufu hakula nguruwe akamula kjana mdogo na akawaita wengne makafir [emoji1787][emoji23][emoji24]
 
Akipata mwanasheria mahiri anachomoka .
Kwanza shambulio la aibu ni kumfanyia unyanyasaji mwanamke/au mwanaume hadharani,,mfano dunga dunga.

Na adhabu ya dunga dunga ni kulipa pesa ya sabuni kwa victim na sio kumpiga mvua ya miaka maisha..
Shitaka lilikosewa.
Acha kutetea upuuzi mkuu ,acha akanyee debe man washazoea kuonea wanaume
 
Sio kutetea upuuzi bali kesi imekosewa kufunguliwa mashtaka.

Niliwahi mshuhudia mwanaume mmoja dunga dunga akifunguliwa mashtaka pale police buguruni miaka kadhaa iliyopita.

Jamaa alimchafua mwanamke kwa nyuma kwenye daladala.,,tena alitoa uume nje akauweka matakoni kwenye skirt ya yule mwanamke akamwagia mbegu.
Alipokamatwa akapewa kesi ya shambulio la aibu.

Pale police dunga dunga akaambiwa alipe fine pesa ya sabuni kwa yule mwanamke aliyechafuka.,,yaishe.
Au apelekwe mahakamani..

Shambulio la aibu ni kumfanyia mtu jambo la fedheha mbele za watu.
Na adhabu yake sio kali kama mtu aliyebaka au kulawiti.
Shambulio la aibu halifanywi falagha.

Huyo dada akiwa na mwanasheria mzuri anatoka mchana kweupee.

Iifike mahali tusiamue kesi kwa mihemko bali tufate Sheria
 
Sio kutetea upuuzi bali kesi imekosewa kufunguliwa mashtaka.

Niwahi mshubudia mwanaume mmoja dunga dunga akifunguliwa mashtaka pale police buguruni miaka kadhaa iliyopita.

Jamaa alimchafua mwanamke kwa nyuma kwenye daladala.,,tena alitoa uume nje akauweka matakoni kwenye skirt ya yule mwanamke akamwagia mbegu.
Alipokamatwa akapewa kesi ya shambulio la aibu.

Pale pale police akaambiwa alipe fine pesa ya sabuni kwa yule mwanamke aliyechafuka.,,yaishe.
Jamaa alipewa kesi ya shambulio la aibu..

Hakuna shambulio la aibu linafanywa faragha.,
Shambulio la aibu ni kumfanyia mtu jambo la fedheha mbele za watu.
Na adhabu yake sio kali kama kubaka.
Huyo dada akiwa na mwanasheria anatoka.

Ndugu wewe ndio umetoa maoni ya kimhemko. sheria haitafasiriwi hivyo. shambulio la aibu si tendo moja tu la dungadunga . Bali ni mkusanyiko wa makosa yakiwemo ambayo hayakidhi vigezo vya kuwa ubakaji! Sheria ipo wazi kuwa mwanamke hawezi kubaka kwa sababu ubakaji ni kitendo cha ume kuingia kwenye uke bila ridhaa ya mke.

Afu unajichanganya nadhali huelewi haya mambo. Sijui unamaanisha nini unaposema Asha akipata mwanasheria anachomoka ! Kwa kukusaidia huwezi kuwa hakimu bila kuwa mwanasheria. Na aliyeendesha kesi ni wakili kutoka ofisi ya waendesha mashitaka ya serikali ambaye ni mwanasheria. !

Labda kama unamaanisha kuwa ushahidi uliomfunga Asha ni hafifu ulikuwa wa mchongo hapo Asha anaweza kuchomoka.

Ila kwa kukusaidia Asha ni muharibifu alipaswa hata kunyongwa. Alikuwa amezoea kufanya hivyo vitendo na vijana wadogo na baadhi walitokea kutoa ushahidi dhidi yake. .Kibaya zaidi amemkatishia mtoto wa watu maisha ya ndoto zake na kafanya makusudi huku akijijua . Nadhani umeelewa sasa
 
Hao Polisi walikuwa wahuni tu. Hakuna kesi inaendeshwa Polisi
 
Mahakama ya Wilaya ya Mtwara, imemhukumu kifungo cha maisha jela, Asha Chanchoni (47) kwa kosa la shambulio la aibu, baada ya kubainika kujihusisha kimapenzi na mvulana mwenye umri wa miaka 15.

Hukumu hiyo imetolewa na Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama hiyo, Lucas Jang’andu, ambapo amesema Mahakama imethibitisha bila kuacha shaka kuwa mwanamke huyo alikuwa akijihusisha kimapenzi na mvulana huyo.
UPWIRU noma sana!!
 
Ndugu wewe ndio umetoa maoni ya kimhemko. sheria haitafasiriwi hivyo. shambulio la aibu si tendo moja tu la dungadunga . Bali ni mkusanyiko wa makosa yakiwemo ambayo hayakidhi vigezo vya kuwa ubakaji! Sheria ipo wazi kuwa mwanamke hawezi kubaka kwa sababu ubakaji ni kitendo cha ume kuingia kwenye uke bila ridhaa ya mke.

Afu unajichanganya nadhali huelewi haya mambo. Sijui unamaanisha nini unaposema Asha akipata mwanasheria anachomoka ! Kwa kukusaidia huwezi kuwa hakimu bila kuwa mwanasheria. Na aliyeendesha kesi ni wakili kutoka ofisi ya waendesha mashitaka ya serikali ambaye ni mwanasheria. !

Labda kama unamaanisha kuwa ushahidi uliomfunga Asha ni hafifu ulikuwa wa mchongo hapo Asha anaweza kuchomoka.

Ila kwa kukusaidia Asha ni muharibifu alipaswa hata kunyongwa. Alikuwa amezoea kufanya hivyo vitendo na vijana wadogo na baadhi walitokea kutoa ushahidi dhidi yake. .Kibaya zaidi amemkatishia mtoto wa watu maisha ya ndoto zake na kafanya makusudi huku akijijua . Nadhani umeelewa sasa
Kuna sehemu wameelezea kuwa ndio tabia yake KWA vijana Wengine wadogo? Mi nikajua ni KWA huyo wa 15 years tu.

Updates:. Nimeangalia gazeti la Mwananchi limesema ni tabia yake KWA vijana wadogo
 
Sawa,lakini hakimu amekosea.
Yesu amesema makosa ya wanawake yasilinganishwe na makosa ya wanaume.
Ati wanaume mashoga wafungwa maisha,na wanawake wasagaji wafungwe maisha?
Makosa ya wanawake yanastahili adhabu ndogo zaidi,if any.
 
Back
Top Bottom