Muuza madafu wa Ikulu
JF-Expert Member
- Feb 21, 2024
- 1,277
- 2,888
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katiwa unaa na sheria za nchi.Ametiliwa unaa tu, miaka 15 kishabalehe huyo.
Hao wa miaka hiyo wanaenda mpaka shoti 10 bila kupumzika.
Hapo tunasema "kiranga komo".
Whistle-blowers.Katiwa unaa na sheria za nchi.
Asha kazingua kwanini kabaka mjukuu wake!!?
Atakuwa na changamoto ya afya ya akili, ni ngumu sana mwanamke kutenda kitu km hiko.
😁😁😁Aiseee hatari sana ,Asha amefeli sana ,kuna wahuni kibao wapo kitaa wanatafuta pa kusuzia rungu.
Asha yupi?ha Pole sana Asha.....
Siyo tabia yake tu kutoa upwiru kwa watoto wadogo bali tabia yake ya kuwaua makusudiKuna sehemu wameelezea kuwa ndio tabia yake KWA vijana Wengine wadogo? Mi nikajua ni KWA huyo wa 15 years tu.
Updates:. Nimeangalia gazeti la Mwananchi limesema ni tabia yake KWA vijana wadogo
Kumpa Mwana wa mwenzio Driving test kuna ubaya gani?Pole ya nini ameharibu mtoto wa mwenzie
Hahaaaaa haya mkuu.Ametiliwa unaa tu, miaka 15 kishabalehe huyo.
Hao wa miaka hiyo wanaenda mpaka shoti 10 bila kupumzika.
Hapo tunasema "kiranga komo".
Hivi hao wanawake wanaobaka wako wapi jamani waje wanibake mimi, kama wapo humu wanicheki inboxMahakama ya Wilaya ya Mtwara, imemhukumu kifungo cha maisha jela, Asha Chanchoni (47) kwa kosa la shambulio la aibu, baada ya kubainika kujihusisha kimapenzi na mvulana mwenye umri wa miaka 15.
Hukumu hiyo imetolewa na Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama hiyo, Lucas Jang’andu, ambapo amesema Mahakama imethibitisha bila kuacha shaka kuwa mwanamke huyo alikuwa akijihusisha kimapenzi na mvulana huyo.
Hao Polisi walikuwa wahuni tu. Hakuna kesi inaendeshwa Polisi
Kwahyo unataka kusema zile kesi ambazo watu hukata rufaa na kushinda hazikupitiwa na wanasheria wa serikali?Ndugu wewe ndio umetoa maoni ya kimhemko. sheria haitafasiriwi hivyo. shambulio la aibu si tendo moja tu la dungadunga . Bali ni mkusanyiko wa makosa yakiwemo ambayo hayakidhi vigezo vya kuwa ubakaji! Sheria ipo wazi kuwa mwanamke hawezi kubaka kwa sababu ubakaji ni kitendo cha ume kuingia kwenye uke bila ridhaa ya mke.
Afu unajichanganya nadhali huelewi haya mambo. Sijui unamaanisha nini unaposema Asha akipata mwanasheria anachomoka ! Kwa kukusaidia huwezi kuwa hakimu bila kuwa mwanasheria. Na aliyeendesha kesi ni wakili kutoka ofisi ya waendesha mashitaka ya serikali ambaye ni mwanasheria. !
Labda kama unamaanisha kuwa ushahidi uliomfunga Asha ni hafifu ulikuwa wa mchongo hapo Asha anaweza kuchomoka.
Ila kwa kukusaidia Asha ni muharibifu alipaswa hata kunyongwa. Alikuwa amezoea kufanya hivyo vitendo na vijana wadogo na baadhi walitokea kutoa ushahidi dhidi yake. .Kibaya zaidi amemkatishia mtoto wa watu maisha ya ndoto zake na kafanya makusudi huku akijijua . Nadhani umeelewa sasa
Jela ni kama hospital mkuu,,ni yetu sote,,mtu yeyote anaweza akawa mtuhumiwa,,especially mwanaume..Acha kutetea upuuzi mkuu ,acha akanyee debe man washazoea kuonea wanaume
Sahihi, ni kama binti wa miaka 15 tu.Ametiliwa unaa tu, miaka 15 kishabalehe huyo.
Hao wa miaka hiyo wanaenda mpaka shoti 10 bila kupumzika.
Hapo tunasema "kiranga komo".
Genye hatari sana love. Mvulana Miaka 15 mbona mdogo sana dah!
Sio kubakwa, ni kushambuliwa kwa aibuMimi nipo tayari kubakwa na Asha kwa hiari.
Kwahiyo asha kaonewa, aachiwe huruKubakwa na mwanamke raha nyie