Asha Baraka ajitosa ubunge Kinondoni

ishakuwa tatizo

nilikuwa nashangaa bendi yake ilikuwa inakamua hata mwezi wa ramadhani ambao hata akina Kusaga na Freeman waliamua kunyuti

duh!

sasa kwa nini asigombee kwao Kigoma?

Kama ni mtanzania,hana haki ya kugombea sehemu yoyte sio mpaka kwenye asili yake- kwani sote ni Watanzania.
 
Sasa wandugu unafikiri mtu kama Asha Baraka anaweza kupata nafasi ya kugombea Ubunge kwa tiketi ya chama gani zaidi ya hichi chama cha majambazi? Hana hadhi ya kuwa mbunge lakini kwa sababu tu inanwezekana akawa nyumba ndogo ya kingunge mmoja wa ccm, comes October 2009, atakuwa mbunge hata kwa kura za maruhani.
 
..mwacheni agombee Dar.

..majimbo ya mjini hayana stress na challenges kama yale ya vijijini.
 


ccm wakiweka picha ya kombe la duni best watanzania walivyo wakatili wanalichagua...wao ni ccm tu
 
- Asha Baraka ni good people as a person, lakini politically ahukumiwe kwa mazuri au mabaya aliyokiwsha yafanya kama kiongozi, ni mjumbe wa NEC tayari sio nafasi ndogo hiyo ni kubwa sana kwa Tanzania,

- Muhimu ni tuchambue kwamba toka awe mjumbe wa NEC amewahi kufanya nini cha muhimu kwa masilahi ya taifa, na hasa wanachi? Huko NEC amewahi kusema nini hasa chenye kujali taifa na wananchi wake? Tumlinganishe na wagombea wengine wa hilo jimbo,

- Otherwise, ni good people ninaheshimu sana the fact kwamba pamoja na kuzigurugenzi bendi za Twanga na African Revolution, bado ni mfanyakazi wa kawaida wa Bima mpaka leo hii, anaweza ku-deal na muziki usiku lakini asubuhi yupo kazini kama kawaida ya kuajiriwa na Shirika la umma kwa hili ninampa heshima sana, binafsi I am looking forward kujua nia hasa na madhumuni yake kugombea ubunge ndipo tutatoa hukumu!

Respect.


FMEs!
 
Ama kweli Ubunge Tanzania na CCM lao hili duh!
 
watanzania tuache ujinga, tupate mtu atakayetuletea maendeleo ya mweli huyu mama hawezi
huyu mama hafai kabisa, ameshindwa kusaidia vijana wake, sina hakika kama anaweza kuwa ma mawazo mbadala kuelekea maendeleo ya kisasa

indicators zote za mapunbgufu ziko kwenye namna anavyoongoza wanamuziki wake na alipokua bima

SHE IS NOT GOOD ENOUGH LABDA ATAFUTE UDIWANI
 

hata udiwani hafai bana
 
mama endelea kwa raha zako lakini huu ubunge wa TZ ingekuwa Kenya sijui...
 
hata udiwani hafai bana
tanzania hatuwezi kuendelea kwa kuwa na watu kama asha baraka kwenye sensitive areas, mwache abaki kule anapofaa... kwenye starehe!!!
 
mmh ! sidhani kama ana kipya cha kulifanyaia jimbo hilo hapo ASET japo kadogo kukaoongoza kashindwa kila kukicha migogoro na akina chokoraa
ataliweza jimbo tena jimbo lenyewe matatizo lukuki mateja, machangu , mabaa n.k
nadhani anasukumwa na ile dhana ya 50% wanawake
 

kuna wapuuzi wamemwambia anafaa, si unajua tena tanzania njaa!!! ukiwa hata na laki unaweza kuambiwa unafaa kuwa rais!!
 

Sio kweli mkuu mbona Chiku Abwao alipata ubunge, unajua buashara zake zilikuwa nini????
 
Naomba kuuliza hivi mara ya mwisho kwa jimbo la kinondoni kuwa Mbunge ni lini? Maana muda mrefu mimi naona kama hili jimbo kama liko wazi vile!!!
 
Natumaini atapata , Tanzania ukiweza kuimba vizuri au hata ukiweza kuimba nyimbo za kukisifu CHAMA unafanyiwa kampeni kwa gharama yoyote.

Tusiachane hivi hivi wk end , tufurahi na hawa vijana kidogo: [ame]http://www.youtube.com/watch?v=RjzjeJ6jduU[/ame]


Una tegemea viongozi wa jinsi hiyo watakuletea maendeleo ya jinsi gani ?

 
i doubt kama kweli,anataka kugombea ubunge,kama ni kweli basi huyo mpinzani wake will have a field day-her ENGLAND dossier does not make good reading in aspects of fraud
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…