Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaweza kumsaidia mtu baki ukamuacha ndugu yako na maradhi? Ivi unajua Asha na Amigoras ni ndugu?
Unaweza kumsaidia mtu baki ukamuacha ndugu yako na maradhi? Ivi unajua Asha na Amigoras ni ndugu?
Ukisema Mimi na ndugu zangu ukamuacha Asha baraka ni ujinga! Kwasababu sote ni ndugu umenielewa? Halafu Amigoras amefanya kazi kwa Asha miaka 18! Nafikiria Kama una akili timamu unaweza kujua mchango wake kwenye mafanikio ya Asha, anawezaje kumsaidia gurumo na kumuacha ndugu yake? Kisa amehama band.

Sasa hapa wamueleza Asha au sisi walimwengu!?
Msaada ni hiari, sio shuruti.
Huwezi kumchagulia mtu wa kumsaidia.
Kutomsaidia mtu sio dhambi.
Ukimchukia hutafaidika na chochote.
Bahati mbaya sana kwako kuna wengine wanampenda
RIP Amigolas. sote tuko njia moja. Pamoja na Asha Baraka.
Hata kama angemsaidia matibabu unadhani yule angepona na kale kaugonjwa kake kale?
Siku zote unatakiwa utoe pesa/michango baada ya mtu kufa maana ye kasepa hana chake tena sio kwa mgonjwa,ndo maana waswazi wakasema"hujafa hujasifiwa"
Alikua halipwi?
Mshahara alikuwa anaupiga kiberiti tuuuuuuuu
Yaani acha tu ndio maana kaolewa na malaya yeye akadhani kaokota embe chini ya mbuyu
Kwani mtu gani hapa duniani ataishi milele? Kila mmoja anakifo chake. Mbona rais wa Zambia kapelekwa UK, na bado kafaa. Ikifika imefika jamani. Lawama hazina tija mleta mada.
Sasa ugomvi wa ndugu we unakuhusu nini? Si uache wenye familia yao wasuluhishe? Mambo ya familia yana mengi ukute hata huyo marehemu alikataa msaada wa ndugu yake vile vile!
Haaa! Asha Baraka ni mke wa mtu? mume wk nani?
mke wa mtu jina nimemsamhau yule baba ameolewa km sikosei mwaka jana mwishoni
iddi baka wa pandisha imports pale magomeni msikitini