Asha Migiro in Tanzania

Asha Migiro in Tanzania

Name Anne Malecela
Surname Malecela
First Names Anne Kilango

Country of Birth Tanzania

From To Organisation Position 2005 Same Constituency MP for Same
Date of Birth 9 Jan 1956
Political Affiliation CCM

Notes EDUCATION
School Name/Location Course/Degree/Award Start Date End Date Level
Chang'ombe Teachers' Training College Teaching Course 1978 1979, (Currently Open University Degree Economics)

CERTIFICATE
Shycom Secondary School A-Level Education 1975 1976 HIGH SCHOOL
Weruweru Secondary School O-Level Education 1971 1974 SECONDARY
Jitengeni Primary School Primary Education 1964 1970 PRIMARY
--------------------------------------------------------------------------------
EMPLOYMENT HISTORY
Company Name Position From Date To Date :KLM Airline Accountant 1993 1994, Gulf Air Corporation Financial Controller 1991 1993, Air Tanzania Corporation(ATC) Accountant 1983 1991, Kisutu Girls' Secondary School Teacher 1979 1983
--------------------------------------------------------------------------------
POLITICAL EXPERIENCE
Ministry/Political Party/Location Position From To
Chama Cha Mapinduzi - CCM Member of Parliament of Tanzania 2000 2010
Chama Cha Mapinduzi - CCM Chairperson (UWT Kinondoni District) 1997 2003

[ Retrieved on 17/7/2006 - www.parliament.go.tz ]

I won't call that a Degree, so if I had it my way; she's not fit for the top office; but Demokrasia might have other more powerful ideas than mine.!!!
 
Asha-Rose Mtengeti Migiro (born July 9, 1956 in Songea, Ruvuma Region, Tanzania) is a Tanzanian lawyer and politician. On January 5, 2007, she was named as the Deputy Secretary-General of the United Nations.[1] She was formally appointed and assumed office on February 5.[2] She is married to Cleophas Migiro, and the couple has two daughters.[3]

[edit] Education

Migiro commenced her education at Mnazi Mmoja Primary School in 1963. She later moved on to Korogwe Primary School, Weruweru Secondary School, and, finally, Korogwe Secondary School, where she graduated high school in 1975.[4]

She obtained her LL.B and LL.M from the University of Dar es Salaam and her Ph.D. in 1992 from the University of Konstanz in Germany. Before entering politics, she was a senior lecturer at the Faculty of Law at the University of Dar es Salaam (UDSM).[5]

[edit] Time in the Tanzanian government

Migiro served as a ward member of Chama Cha Mapinduzi from 1994 to 2000, and as a member of a Regional Executive Council from 2000 to 2005.[4] From 2000 to 2006, she was the Minister of Community Development, Gender and Children's Affairs. She became the Minister for Foreign Affairs and International Cooperation on January 4, 2006, when the previous foreign minister, Jakaya Kikwete, who had been elected president, appointed his new cabinet.[6]

While in the position of foreign minister, Migiro accompanied the former president of the Comoros, Azali Assoumani, as he toured his country's new consulate in Tanzania and inspected a Tanzanian hospital.[7] According to United States officials, Condoleezza Rice, the American Secretary of State, is "personally acquainted" with her.[8] Kikwete appointed Bernard Membe to succeed Migiro as foreign minister.[9]

Migiro and Tanzanian President Jakaya Kikwete at the December 2007 Leon H. Sullivan Foundation dinner in Washington, DC

[edit] United Nations appointment

Migiro was appointed to the post of United Nations Deputy Secretary-General by Ban Ki-moon, the new United Nations Secretary-General from South Korea, on January 5, 2007.[1] According to Ban, "She is a highly respected leader who has championed the cause of developing countries over the years..." He also said that "Through her distinguished service in diverse areas, she has displayed outstanding management skills with wide experience and expertise in socio-economic affairs and development issues."[10] According to The New York Times, this was a fulfillment of his promise to pick a woman from the developing world for the post of Deputy-Secretary General.[8] The UN News Centre noted that Migiro and Ban had worked together while they were foreign ministers of their respective countries.[5]
 
FMES,

..wakati wa uteuzi wake kuna watu walimpiga madongo na kulalamika kwamba she was not qualified.

..wadau wa UN wanampa maksi gani kutokana na utendaji wake?

..pia sijui hapa Tanzania wanasiasa wenzake wanamchukulia namna gani. je anakubalika na wenzake?

NB:

..nadhani Dr.Tibaijuka anastahili kufikiriwa pia. yeye nafasi yake siyo ya kuteuliwa. ameomba kazi, akafanyiwa interview na kutokea mshindi.
 
Nyani umesema kweli.. Urais siyo digrii na uongozi siyo usomi. Hili bado nalikataa. Hakuna uhusiano wa moja kwa moja kati ya uongozi na usomi. Naamini hili ni mojawapo ya makosa makubwa ambayo bado tunayafanya. Haina maana msomi asiwe kiongozi, bali kiongozi siyo lazima awe msomi.
 
Masha , Lawrence K.

GENERAL EDUCATION

School Name/Location Course/Degree/Award Start Date End Date Level
Georgetown University Law Centre LL.M 1992 1993 MASTERS DEGREE
University of Dar es Salaam LL.B (Hons) 1987 1991 GRADUATE
New Rochelle Academy High School Diploma 1981 1986 HIGH SCHOOL
New Rochelle Academy Primary Education 1976 1981 PRIMARY

EMPLOYMENT HISTORY

Company Name Position From Date To Date
Ministry of Home Affairs Minister 2/13/2008
Tanzania Oxygen Limited Company Secretary 1997 2000
Tanzania Oxygen Limited Managing Director 1997 2000
IMMMA Advocates Partner 1997 Todate
Maajar, Rwechungura Law Office Legal Officer 1995 1997
International Law Chambers Legal Officer 1991 1995
Ministry of Home Affairs Deputy Minister 10/17/2006 2/8/2008
Ministry of Energy and Minerals Deputy Minister 1/1/2006 10/16/2006

POLITICAL EXPERIENCE

Ministry/Political Party/Location Position From To
Chama Cha Mapinduzi - CCM Member of UVCCM National Council 2003 2003
Chama Cha Mapinduzi - CCM Secretary General(UVCCM) 2003 2003
Chama Cha Mapinduzi - CCM Youth Commander(UVCCM-Kawe) 2002 2005
Chama Cha Mapinduzi - CCM Party Warden 2002 2002
 
Nyani umesema kweli.. Urais siyo digrii na uongozi siyo usomi. Hili bado nalikataa. Hakuna uhusiano wa moja kwa moja kati ya uongozi na usomi. Naamini hili ni mojawapo ya makosa makubwa ambayo bado tunayafanya. Haina maana msomi asiwe kiongozi, bali kiongozi siyo lazima awe msomi.

Right on my friend. Sisi wabongo tunayo sana hii kasumba ya kudhania kwamba mtu mwenye madigrii anaweza kila kitu. Nakumbuka jinsi watu walivyokuwaga wanampamba na kummwagia masifa marehemu Tuntemeke Sanga na kusema alikuwa na "digrii saba". Mambo mengi kuhusu yeye yalikuwa kuhusu hizo "digrii zake saba". Sikuwahi kusikia mtu hata mmoja akizungumzia yeye (Sanga) alikuwa kiongozi wa aina gani na alifanikiwa katika nini na legacy yake ni ipi......kila kitu ilikuwa digrii...digrii...digrii......mpaka hii leo sijui hizo "digrii saba" alizipata wapi na katika fani gani...lol
 
wakati wa uteuzi wake kuna watu walimpiga madongo na kulalamika kwamba she was not qualified...wadau wa UN wanampa maksi gani kutokana na utendaji wake?

Serikali za South Afrika, Kenya, na Nigeria, ndizo hasa zilizoleta choko choko, na pia kwa kushinikizwa na wazungu wachache toka ubalozi wa US kule UN, wakajaribu sana kumpiga vita mama Migiro, kwa madai kuwa Tanzania imepata nafasi nyingi mno huko UN, na kwamba Mama Migiro sio administrator hata huu uwaziri wa nje ameushika kwa muda mfupi sana,

Mama Migiro, anafanya kazi nzuri so far kwa sababu ame-adopt a low profile approach, na kuwa na heshima kubwa sana na mipaka yake ya kazi na her superior, na kujaribu ku-avoid kuonekana anawapendelea wabongo ambao ni wengi sana huko UN, na bahati nzuri alipata wasaidizi makini sana kati ya balozi Manongi, na balozi kutoka Gabon, ambaye ni Director wa ofisi yake, kwa kweli nina bahati ya kuwasiliana na kuonana naye mara kwa mara, she is doing just fine, na sio siri kuwa ameanza kukubalika sana huko, hasa tabia yake ya u-down to earth,

Binafsi nina heshima kubwa sana naye kuanzia personal conduct yake na uongozi pia, maana hata ukimtembelea nyumbani kwake, ni vigumu kuamini kuwa huyu ni mama mkuu wa dunia, maana kama ni chai atakupikia mwenyewe na kukutayarishia sio kama viongozi wengine kazi kuita maboi wao!

..pia sijui hapa Tanzania wanasiasa wenzake wanamchukulia namna gani. je anakubalika na wenzake?

I mean ninajua kuwa viongozi wengi wana heshima naye sana, na hatakuwa na tatizo wakati utakapofika, kuna viongozi wengi sana wenye uchungu kuona Salim akinyimwa kupewa nafasi ya kuongoza, ninaamini kuwa wakati utakapofika, watakumbuka sana makosa walioyoyafanya na Salim, na kumpa huyu mama nafasi

..nadhani Dr.Tibaijuka anastahili kufikiriwa pia. yeye nafasi yake siyo ya kuteuliwa. ameomba kazi, akafanyiwa interview na kutokea mshindi.

Binafsi mimi sina heshima na huyu mama, nimeuona mara nyingi sana in action, I mean sina sababu ya kumchafua hapa, lakini sina hesima naye kabisaa na hasa kwa uongozi wa taifa changa kama letu, hayo ni maoni yangu tu!
 
Degree au elimu ya juu zaidi ni added advantage. You don't loose anything by having a degree, but you are likely to face hurdles sometimes somewhere by not having it. So, yes, a degree/higher education may not automatically make you a good leader (no causal relationship here) but it is certainly a good predictor of success and performance in leadership and several other spheres.

My conclusion: It is only a foolish politician who will accept an advice that he/she doesn't need a degree at this material time!

My recommendation: Politicians if you still have time, go and get your good degree; you'll loose nothing by taking this step. It is to your own advantage to sacrifice some few years of vigelegele for this purpose.
 
Maneno mazito sana haya mkuu.
 
Nyani Ngabu,

..mimi nafikiri kuwa na degree ni muhimu.

..pia uweze kuonyesha umefanyia nini hiyo degree yako kwa manufaa yako binafsi na ya wananchi wenzako.

..baada ya hapo uweze kuonyesha kwamba elimu na rekodi yako ya utendaji vitasaidia kuleta maendeleo ktk nchi yetu.

NB:

..kuna dhana nyingine inajijenga kwamba kiongozi mzuri ni yule aliye masikini.

..maadili na mafanikio ya uongozi yanapimwa na ufukara wa mtu, na siyo maendeleo yake na mbinu zilizotumika kuyafikia.
 
Degree au elimu ya juu zaidi ni added advantage. You don't loose anything by having a degree, but you are likely to face hurdles sometimes somewhere by not having it. So, yes, a degree/higher education may not automatically make you a good leader (no causal relationship here) but it is certainly a good predictor of success and performance in leadership and several other spheres.

My conclusion: It is only a foolish politician who will accept an advice that he/she doesn't need a degree at this material time!

My recommendation: Politicians if you still have time, go and get your good degree; you'll loose nothing by taking this step. It is to your own advantage to sacrifice some few years of vigelegele for this purpose.

So they should just go get a degree...any kind of degree from any institution that offers degree....like The University of Phoenix, Pacific Western University, DeVry University....

Oh wait...Emmanuel Nchimbi has a PhD. too....
 
Nyani Ngabu,

..mimi nafikiri kuwa na degree ni muhimu...pia uweze kuonyesha umefanyia nini hiyo degree yako kwa manufaa yako binafsi na ya wananchi wenzako.

..baada ya hapo uweze kuonyesha kwamba elimu na rekodi yako ya utendaji vitasaidia kuleta maendeleo ktk nchi yetu.

NB:

..kuna dhana nyingine inajijenga kwamba kiongozi mzuri ni yule aliye masikini.

..maadili na mafanikio ya uongozi yanapimwa na ufukara wa mtu, na siyo maendeleo yake na mbinu zilizotumika kuyafikia.

Oh yeah...ni muhimu sana na ndio maana Mrema alienda kupata ya kwake.....lol
 
Katika wakati huu tulionao, hatutakuja kuwa na kiongozii asiyekuwa na elimu ya kuanzia degree angalau moja, na hopefully kuna siku bongo tutajali record ya kiongozi na hasa ya uongozi wake, maana tungekua tunajali hayo Muungwana asingeukwaa!
 
Migiro and Tanzanian President Jakaya Kikwete at the December 2007 Leon H. Sullivan Foundation dinner in Washington, DC

Mambo hayo...!

United Nations appointment

Migiro was appointed to the post of United Nations Deputy Secretary-General by Ban Ki-moon, the new United Nations Secretary-General from South Korea, on January 5, 2007

Kama Ban Kimoon kamchaguwa Migiro basi alitumwa na Bush...Kwani Bush ndiye aliyemchaguwa Ban Kimoon UN.

Kama jinsi alivyo mchaguwa Condoleeza Rice baada ya Collin Powell kugunduwa roho mbaya na nia mbaya ya Bush akajiuzulu!

Rice ndio akawekwa!

Hapo ni Mwafrika na Mchina china wanachorewa ramani.

Mimi namuomba mama Migiro apeleke ujumbe huu huko UN....Kuwa tunataka UHURU WETU KWANZA...Na baada ya hapo tutanegotiate na kila mtu atapata manufaa epecially MASIKINI NA WANYONGE WA AFRIKA!

Na si mambo ya vita vya MASUPER POWERS!
 
Degree au elimu ya juu zaidi ni added advantage. You don't loose anything by having a degree, but you are likely to face hurdles sometimes somewhere by not having it. So, yes, a degree/higher education may not automatically make you a good leader (no causal relationship here) but it is certainly a good predictor of success and performance in leadership and several other spheres.

My conclusion: It is only a foolish politician who will accept an advice that he/she doesn't need a degree at this material time!

My recommendation: Politicians if you still have time, go and get your good degree; you'll loose nothing by taking this step. It is to your own advantage to sacrifice some few years of vigelegele for this purpose.

Siku hizi hakuna haja ya kuzitafuta ukijiunga na chuo huria kabla ya kumaliza unatunukiwa Udaktari wa Falsafa - na magazeti yanakuandika - Dr. Amani Karume.
 
Nimeona kuna threads kadhaa zimeuinganishwa..Hasa zile za kesi ya kubenea an mashitaka ya Mafisadi amabayo hata hivyo bado hatujaambiwa rasmi kwenye count down ya EPA kama Rais ameshapewa ripoti ama la.

Pia hii mada ni ya Rose Migiro..Nilipoanzisha ile thread ya UN kusema muafaka upatikane kabla ya uchaguzi..Nilitaka niandike Asha Migiro kasema muafaka upatikane kabla ya uchaguzi...Lakini nikakumbuka kuwa yeye ni naibu katibu wa UN...Sasa mnapokuwa na thread moja ya Asha Migiro na nyingine ya kumuhusu yeye kama makamu katibu mkuu wa UN...Na pia ujumbe wake ukiwa ule ule the ina maana gani kutoziunganisha thread hizi mbili?

Kuna ile thread angu nyingine ya Obama ya Signed Sealed Delvered nayo iliunganishwa na ile kuu ya Obama..Lakini ukweli ni kwamba ile ilukuwa ni thread ambayo kihoja ilikuwa iwe na mweleko wa tofauti.

Ni mawazo tu kuhusiana na hili na Mods hopefully hili litakuwa wazi..Kwani loko wazi mno.

Ahsanteni.
 
Ndio mkuu, uzuri wa CCM tuna vichwa vingi sana, hatutegemei kiongozi mmoja tu, 2015 kuna wengi tu kina mama Kilango, Masha, Mama Migiro, Nape na wengineo wengi tu ambao watajitokeza in the process, ndio maana ya demokrasia, kwa hiyo si kweli kwamba itakuwa hao wawili tu uliosema mkuu,

Wako wengi na wote ni vichwa tupu!
FMES,
Sorry to disappoint you. Masha belongs to the fisadi group. Hafai.
 
icon1.gif
United Nations-Muafaka upatikane kabla ya Uchaguzi mkuu!
`Muafaka baada ya uchaguzi haufai`

2008-07-20 13:02:52
Na Mwandishi Wetu

Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN), Dk. Asha-Rose Migiro amesema utaratibu wa kutafuta muafaka baada ya uchaguzi mkuu, sio utamaduni unaopaswa kuendelezwa.

Badala yake amezitaka nchi za Afrika kujenga misingi imara ya demokrasia na kufanya chaguzi zilizo huru na haki ili kuepusha kupinga matokeo ya uchaguzi kunakosababisha kutumia muda mwingi na gharama kwenye mazungumzo ya usuluhishi wa migogoro inayotokea baada ya kufanyika kwa uchaguzi mkuu.

Dk. Asha-Rose ambaye yupo nchini kwa mapumziko, alitoa ushauri huo wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana.

Alikuwa akijibu swali la mwanahabari aliyetaka kupata maoni ya UN iwapo inaunga mkono utamaduni unaoibuka sasa barani Afrika wa kukimbilia kutafuta muafaka baina ya wanasiasa wanaodaiwa kushindwa kwenye uchaguzi mkuu kwa njia ya hila na wapinzani wao.

``Huo sio utamaduni wa kuendelezwa, kinachotakiwa ni kujenga utaratibu wa kuwa na demokrasia na kuelimishana kijamii,`` alisema na kuongeza kuwa, ``dawa ni kujenga misingi imara ya demokrasia na baada ya uchaguzi, isiwe tena tunatumia muda mrefu kushughulikia matatizo yatokanayo na uchachguzi mkuu.``

Mwishoni mwa mwaka jana vyama vya ODM na PNU vya Kenya viliingia kwenye mgogoro wa uchaguzi mkuu ambao mgombea wa ODM Bw. Raila Odinga, alidai ameshinda na kuibiwa ushindi na mgombea wa PNU Rais Mwai Kibaki.

Hali hili ilisababisha mamia ya wananchi kupoteza maisha, wengine kujeruhiwa vibaya na kupoteza mali, kuwa wakimbizi nchini Uganda yote hayo yalitokana na kuzuka kwa vurugu na mapigano baada ya jamii mbalimbali zilizokuwa zinapinga ama kukubaliana na matokeo ya uchaguzi yaliyotangazwa na kumpa ushindi Rais Mwai Kibaki ambaye alidaiwa na wapinzani kuwa hakushinda kihalali.

Baada ya vurugu hizo, wasuluhishi mbalimbali akiwemo Katibu Mkuu wa zamani wa UN Dk. Kofi Annan, Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika (AU) aliyemaliza muda wake Rais Ghana John Kufuor, mke wa Rais wa zamani wa Afrika Kusini Bi. Graca Machel ni miongoni mwa walishiriki katika kutafuta muafaka kati ya Rais Kibaki na mpinzani wake mkuu Bw. Raila Odinga.

Matokeo yao muafaka huo yalipelekea kuundwa kwa serikali ya mseto ambapo Bw. Odinga aliteuliwa kuwa Waziri Mkuu.

Hali kadhalika, uchaguzi mkuu uliofanyika nchini Zimbabwe hivi karibuni, umeibua hoja za kuanza mjadala wa usuluhishi baina ya Rais Robert Mugabe na mpinzani wake wa chama cha MDC Bw. Morgan Tsvangirai.

Kadhalika hali si shwari visiwani Zanzibar baina ya CUF na CCM ambapo CUF inadai ilipokonywa ushindi na CCM katika chaguzi zote za vyama na kumekuwa na milolongo ya mazungumzo ya mwafaka ambayo hayajawahi kukamilika.

Akizungumzia changamoto za UN, Dk. Asha-Rose alisema umoja huo unakabiliwa na tatizo la kupanda kwa bei ya mafuta na chakula duniani hali ambayo ilimlazimu Katibu Mkuu Bw. Ban Ki Moon kuziomba nchi zinazozalisha mafuta kwa wingi duniani kuongeza uzalishaji huo.

Kuhusu chakula alisema Benki ya Dunia (WB) na Marekani zimekubali kutoa fedha kwa ajili ya kununua chakula kitakachopelekwa sehemu mbalimbali.

Alisema tayari Bw. Moon ameunda kikosi kazi ambacho kitaangalia mahitaji ya sasa ya chakula duniani na kwamba katika awamu ya pili umoja huo utaangalia namna ya kuwasaidia wakulima wadogo wadogo kupata mbolea na mbegu.

Alisema katika awamu ya tatu, suala litakalopewa kipaumbele ni kuboresha miundombinu ili kuwezesha kilimo na chakula kupatikana kwa wingi.

Alitaja changamoto zingine kuwa ni tatizo la mabadiliko ya hali ya hewa, mazingira, ukimwi, malaria na tatizo la kusukuma maendeleo ambapo alisema ipo dira ya pamoja ya Malengo ya Maendeleo ya Milenia.

Katika hatua nyingine, Dk. Asha-Rose amewataka Watanzania kushirikiana kwa pamoja katika kupeperusha bendara ya Tanzania nje ya nchi kwa kufanya kazi kwa bidii, kujenga demokrasia, amani na kusaidia nchi zingine.

Alisema haitaridhisha iwapo ataambiwa aiangalie Tanzania katika suala la amani iwapo kutakuwa na machafuko.

Pia aliwataka Watanzania kuchangamkia kujifunza lugha zaidi ya mbili iwapo wanataka kupata kwa urahisi nafasi za kazi katika ofisi ya UN.

``Tuendelee kujitahidi katika lugha, Watanzania na baadhi ya nchi zingine wasiotumia lugha ya Kifaransa hawana nafasi kubwa sana wanapoomba kazi wakishindana na wengine wanaojua lugha mbili ya Kifaransa na Kiingereza.

Aidha alisema baadhi ya watu hawana utamaduni wa kubahatisha katika kutafuta, kwa kuwa kazi za UN ni za mkataba na wengi wanahofia kuacha kazi zao na kwenda kwenye kazi za mkabata.

Naibu Katibu Mkuu huyo leo anatarajiwa kwenda Zanzibar kumsalimia Rais Aman Karume.
  • SOURCE: Nipashe

Naomba nielezwe utofauti wa hoja ya thread hii na ambayo imetokana na habari hizo hapo juu.

Je thread hii ni ya kumjadili Asha Abdalah personally ama ni ya majukumu yake ya umakamu katibu mkuu wa UN ..Na safari yake amabayo ni wazi katumwa na UN?

Jamani...Tuna nia gani na forum hii?

Ama ni kwasababu vyanzo vya habari ni tofauti?
Well...Hiyo ni a Nipashe.
 
FMES,

..wakati wa uteuzi wake kuna watu walimpiga madongo na kulalamika kwamba she was not qualified.

..wadau wa UN wanampa maksi gani kutokana na utendaji wake?

..pia sijui hapa Tanzania wanasiasa wenzake wanamchukulia namna gani. je anakubalika na wenzake?

NB:

..nadhani Dr.Tibaijuka anastahili kufikiriwa pia. yeye nafasi yake siyo ya kuteuliwa. ameomba kazi, akafanyiwa interview na kutokea mshindi.
jokaKuu,'
Tibaijuka hana personality. Hana charisma. At least Migiro is presentable.
We want a beautiful lady president.
 
Back
Top Bottom