Hivi mpaka leo kesi ya mauaji kuna kuwa na jury wawili tu?
Inashangaza sana kuwa Happiness amekubali kwenda kwa Asha, licha ya kuwa alikuwa akimchukulia mume wake ....
hapo ndo umekoment. kaazi kweli kweli.Dah! Aisee!
Sisi wanaume saa nyingine bana...dah!:scared:
Bado inakuwasha?hapo ndo umekoment. kaazi kweli kweli.
halafu mwisho wa siku eti wewew ndo mshindi.
dah!
Ili anyongwe ni lazima rais atie saini. Inasemekana kipindi cha Nyerere alisaini mtu mmoja tu anyongwe.... Yule Mwamwindi aliyempiga Shaba mkuu wa Mkoa Dr. Kleruu. Yawezekana bado anaozea jela au kishaRIP kama alivyojitetea kuwa alikuwa mgonjwa. Mgonjwa na magereza yetu haya utaishi miaka mingapi?
(a) Mheshimiwa Spika, jumla ya watu 82 wamenyongwa kuanzia awamu ya
kwanza hadi awamu hii ya nne. Kati ya watu hao, 10 walinyongwa wakati wa awamu ya
kwanza na 72 walinyongwa wakati wa awamu ya pili. Hakuna ambaye alinyongwa
wakati wa awamu ya tatu na awamu ya nne.
Chanzo: Bunge la Tanzania
Ahsante mwalimu,Watu 10 walinyongwa hadi kufa kipindi cha Nyerere
Ahsante mwalimu,
Nimekoma kusikiliza hadithi za mitaani.... Khaa! Mwinyi alikuwa hataki masihara eh? Miaka 10 watu 72? Na shujaa wangu naye alikuwa muuaji kumbe?... Kazi ya urais ni ngumu sana aisee....!
shukrani mkuu nimejifunza kitu
Mkuu umesema vyema. Manake kuna mwanamke huyo mmoja wa makamo, kumchoma moto mtu, kumzonga na mkeka, kumburuza hadi bustanini, kumzika, bila ya majirani kuona kweli asubuhi hiyo ya saa tano?
Mkuu umesema vyema. Manake kuna mwanamke huyo mmoja wa makamo, kumchoma moto mtu, kumzonga na mkeka, kumburuza hadi bustanini, kumzika, bila ya majirani kuona kweli asubuhi hiyo ya saa tano?