mkomatembo
JF-Expert Member
- Dec 17, 2011
- 1,477
- 819
dddaaaaaaaah! nashusha pumzi.... nimekumbuka mbali sana wakati ule nipo kigoli kabisa ... Inasikitisha sana Daaaah !
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nitaitafuta...........Pia ninayo ya ALI MAUMBA, yule fundi cherehani aliyefungwa kwa kuvinajisi vibinti pale Shule ya Mtendeni......Sijui wengi wanaikumbuka hii kesi!Tuletee na ile kesi ya yule mama ALIETAKA KUIFILISI TANZANIA, simba ...... yaani bora yule angesepa na ile chenji bwana kuliko sasa hivi...
Mkuu umesema vyema. Manake kuna mwanamke huyo mmoja wa makamo, kumchoma moto mtu, kumzonga na mkeka, kumburuza hadi bustanini, kumzika, bila ya majirani kuona kweli asubuhi hiyo ya saa tano?
Nitaitafuta...........Pia ninayo ya ALI MAUMBA, yule fundi cherehani aliyefungwa kwa kuvinajisi vibinti pale Shule ya Mtendeni......Sijui wengi wanaikumbuka hii kesi!
Inasikitisha sana
napenda kujua kwa hiyo asha alishanyongwa au anatumikia kifungo cha maisha??
Sijawahi kuisikia hii story