Huyu Dr Haule ana matatizo makubwa na ni mtu asiyekuwa na Utu kwa sababu kwenye kesi ya Agnes Liundi yeye ndiye aliyesema Alielezea juu ya kipindi kigumu cha maisha ya ndoa ya mtuhumiwa alichopitia, jinsi maisha yake ya ndoa yalivyokumbwa na misukosuko ya kutoelewana na mumewe.
Nafasi aliyokuwa nayo, maisha aliyopitia utotoni na jinsi alivyokuwa akimtegemea na kumtii mumewe. Dk. Haule, alikuwa na maoni kwamba, kitendo cha mtuhumiwa kuamua kujiuwa na kuwaua wanae, aliamini kwamba, alikuwa amemriwa na mumewe afanye hivyo.
Alisema kwamba, alisoma barua zilizokuwa zimeandikwa na mtuhumiwa kabla ya kutekeleza mauaji hayo lakini barua hizo hazikuweza kubadili maoni yake juu ya jambo hilo.
Cha ajabu baada ya Dr Haule kuona impact ya kukosa uaminifu katika ndoa na hivyo kuleta mafadhaiko makubwa katika familia eg familia ya Liundi, yeye alifanya cheating ya ndoa yake na madhara yake ndo hayo,
Jamani sisi wanaume tuna tatizo kubwa sana na kupenda hiyo plastic isiyoisha