Asha mkwizu kumbe bado yupo hai

Asha mkwizu kumbe bado yupo hai

Status
Not open for further replies.

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Hili jina sio geni kwa wale waliozaliwa miaka ya themanini huko,ni mkasa wa ukweli na wa kutisha,kufundisha,kuelimisha na kusisimua,mkasa huu ulikuwa unamuhusu mwanamama aliyekuwa anaitwa ASHA MKWIZU,kwa wote ambao hawajui kuhusu hili tukio ingia google search ASHA MKWIZU NA MAUJI YA HAWARA WA MUMEWE,utapata mkasa huu uliyoandikwa kwa kiswahili fasaha na cha kueleweka,nilisomaga mkasa huu kupitia msaada wa akina geah na dinna marios kupitia kipindi chao cha leo tena,kwa kweli ni mkasa wa kutisha sana,ila niliwahi kusikia huyu mama bado yupo,ingekuwa vizuri watangazaji wangefanya nae mahojiano kuhusu mkasa uliomkuta na maisha yake baada ya ile kesi,very interesting story..
 
sasa wewe hujaisoma hapa jf?
Na aliyeitafsiri na kuiandika kwa kiswahili fasaha mpaka wa kina dina marios wakaisoma unamjua au humjui?
 
Kizunguzungu.....kiafrikaafrika....kichinachina .....
 
sasa wewe hujaisoma hapa jf?
Na aliyeitafsiri na kuiandika kwa kiswahili fasaha mpaka wa kina dina marios wakaisoma unamjua au humjui?

Tena Dina Marios alisema kabisa habari hii imetoka ktk mtandao wa JF na imeandikwa na mkuu Mtambuzi a.k.a Baba Njina. Sasa hapa nafikiri ungewasiliana na baba Njina ili akupe marejesho kwa maana yeye ndiye alikua chanzo muhimu.
 
Last edited by a moderator:
sasa wewe hujaisoma hapa jf?
Na aliyeitafsiri na kuiandika kwa kiswahili fasaha mpaka wa kina dina marios wakaisoma unamjua au humjui?

Bado mgeni nenda nae taratibu atamjua tu na pia amfuatilie sredi zake za kila ijumaa story iliöniuzunisha ni ile ya mama yake Taji Liundi kumuwekea sumu mumewe na wanae Taji alipona alichelewa kurudi shule na ile nyingine ya Jamaa alimuua kwa kumchinja dada yake huko usa akaenda kumtupa maeneo ya mto
 
Mwacheni mama wa watu..yupo tena ameokoka..so yaliyopita si ndwele yy si wakwanza kuua tanzania hii...km amerudi kwa Mungu wake ya nn binadamu kumhukum
 
Tena Dina Marios alisema kabisa habari hii imetoka ktk mtandao wa JF na imeandikwa na mkuu Mtambuzi a.k.a Baba Njina. Sasa hapa nafikiri ungewasiliana na baba Njina ili akupe marejesho kwa maana yeye ndiye alikua chanzo muhimu.

kabisaaa namshangaa yeye kawaona wakina dina wa maana wakati wao wenyewe wamecop humu.
Na wewe anaitwa baba Ngina cyo baba Njina
 
Last edited by a moderator:
jamani basi tunaomba na sisi hizo story mana zinaelimisha na sisi zilitupita.Tutashukuru sna hata kwa kutuombea tene kwa baba Nginaaaaaa!
 
jamani basi tunaomba na sisi hizo story mana zinaelimisha na sisi zilitupita.Tutashukuru sna hata kwa kutuombea tene kwa baba Nginaaaaaa!

best watu8 muwekee link kijana asiyeweza kwenda mmu na kuisoma tena ipo page ya kwanza tu
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom