Unamtengenezea sonona nzuri kwa bei rahisi.Mama atujuze baada ya kumfukuza uanachama walimpeleka wapi?
Huyu mama aje atueleze baada ya kufukuza uanachama hatuja msikia tena wala kumuona je? Walimuweka wapi?kwa sababu E.J Nchimbi hakuwa kiongozi wa chama wala hakuwa kiongozi wa familia za viongozi wa serikali bali alikuwa kiongozi wa wananchi hivyo tuna haki ya kujua baada ya Asha Rose migiro kutanganza kumfuta uanachama wananchi hatuja muona tena
Na POLEPOLE...Tunahitaji jibu huyo mama atupe jibu