Asha Rose Migiro ndiye Katibu Mkuu Duni zaidi kuwahi kuhudumia CCM

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
143,138
Reaction score
288,731
Hakika ukitaka kudhalilika Chukua cheo cha CCM

Huyu Dadaangu huwezi kudhani kama aliwahi kuhudumia Kimataifa, Yaani Unyama wote unaotendwa na Chama chake kanyamaza kimya as if hana ndugu nchi hii

Kwa sasa ni ngumu sana kutofautisha Kati ya Mwaipopo, Mchange au Migiro

Hii ni aibu sana
 
Huyo mbwa alisema wauaji wa Oktoba 29 walifanya kazi ya kutukuka.
 
Mnataka Afanyeje na chama kimeshakufa natural death?
 
Umeongea ukweli mtupu mkuu, na hakika hakuna tofauti kati ya hao uliowataja na hawa machawa wa hapa hapa JamiiForums wakiongozwa na akina Lucas Mwashambwa na wenzake.
Inasikitisha sana kuona watu wenye akili na weledi wanashuka thamani kiasi hiki. Hawa machawa wa jukwaani na hao viongozi waliopo madarakani wote wana tabia moja: wako radhi kufumba macho, kuziba masikio, na kusifia hata unyama au uonevu wa wazi mradi tu kulinda maslahi yao ya kisiasa au kusaka tonge.
Ukitaka kuona mtu anapoteza utu wake kwa haraka, mpe cheo au nafasi ya kusifia CCM. Hii list uliyoweka ya akina Mwaipopo, Mchange, na Migiro, inafanana kabisa kwa tabia na matendo na hawa machawa wa humu JF. Ni aibu kubwa sana!
 
Migiro ni kilaza tangu zamani. Hata huko kimataifa alikuwa ni mzigo tu. Kikwete na yeye ni ''breed'' moja. Hawana tofauti kichwani.
 
Mbwa ukimjua jina hakung'ati
 
Hivi bado hajabadili jina; kuondoa hiyo Migiro, maanake sidhani kuwa mwenye jina hilo kiuhalisia anafurahia kutumika jina lake kiuchafu namna hiyo anayoonyesha huyo mwanamke.
 
Hivi bado hajabadili jina; kuondoa hiyo Migiro, maanake sidhani kuwa mwenye jina hilo kiuhalisia anafurahia kutumika jina lake kiuchafu namna hiyo anayoonyesha huyo mwanamke.
Aiseee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…