Asha Rose Migiro ndiye Katibu Mkuu Duni zaidi kuwahi kuhudumia CCM

Asha Rose Migiro ndiye Katibu Mkuu Duni zaidi kuwahi kuhudumia CCM

Rev Al Sharpton alikuwa anaongea baada ya kifo cha Muhammad Ali.
Anasema,"Leo hii ukiuliza who is the world boxing heavyweight champion?", hakuna anayefahamu. Lakini wakati wa Muhammad Ali,kila mtu alikuwa anafahamu."
Ndiyo huyu Asha Rose Migiro,leo hii ukiuliza nani Katibu Mkuu wa CCM,watu hawamjui nani.
Lakini uliza Katibu Mwenezi,au Makamu wa Mwenyekiti wa CCM kila mtu atakwambia.
 
..Dr.Migiro alikuwa mjumbe wa Tume ya Jaji Robert Kisanga.

..Nadhani kupitia Tume hiyo ndio uwezo na kipaji chake kiliwavutia watu wa mfumo.

..Tatizo huanzia pale wasomi wetu wanapokubali kutumikishwa na wanasiasa wa Ccm.

..wengine waliopoteza umahiri wao baada ya kuanza kuitumikia Ccm ni wasomi kama Palamagamba Kabudi, Tulia Ackson, Harisson Mwakyembe, Bashiru Ally,...
 
Hakika
 
Migiro, Mkama na Chongolo ndio makatibu wakuu dhaifu kushika wadhifu huo ndani ya CCM.
 
CCM si chama cha siasa hivyo huwezi kuwaona watendaji wake wakifanya kazi kwa sasa majeshi ndiyo yenye kazi kubwa kuhakikisha kuwa CCM inasalia madarakani
 
Back
Top Bottom