Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,314
- 93,919
Mh Asharose Migiro, Mh Asharose Migiro Mh Asharose Migiro, nimekuita Mara tatu .
Ni kweli wewe ni Timu JK ila stuka Mama!!
Usikubali Kubebeshwa Mikoba inayoenda Kufuta Taswira yako Kimataifa, na Heshima yako Yooote uloipata Kimataifa kupotezwa na Siasa za CCM.
Mama yangu, Sijui kama Umekaa na Kufikiria juu ya Heshima yako Ndani ya Nchi na Nje ya Nchi?.
Sijui kama utapima Namna gan Nchi Kwa Sasa imechafuka katika USO wa Dunia??.
Ukatibu Mkuu wa CCM sio Cheo Wala nafasi ya kukuzua Mama, Wewe umeifikia Nafasi ya juuuuu sana ilokufanya Utambulike Duniani na ikakupa MARAFIKI wengi.
Mama nimekuita mara tatu, kihistoria Hauna makando kando, NAOMBA UWAAMBIE WEWE UMEZEEKA, KWA SABABU ZA KIAFYA, UMEAMUA KUTUIA NA FAMILIA YAKO.
Fikiria Utekaji na Mauaji yatakayoendelea ,alafu Dunia iseme ,CCM ndio inayatenda hayo na wewe ndio Katibu Mkuu ?? Mama shtukaaaa, unaangushiwa Jumba bovuu.
Mama ,CCM imechafuka, imeanzisha vita na Makanisa, imewakaribisha Mafisadi chamani, Rasilimali za Nchi zinapokwa, Nawewe ndio Katibu Mkuu, shtukaaaaaa.
Wahuni wanataka kukubagaza, Nawewe uingie kwenye Historia ya Watu waloiharibu Nchi hii.
Unajua kwanini Umechaguliwa?? Mama mama mama, Wanataka kukutumia wewe, wakutumie Kwa Nafasi yako ulowahi ishika Katika ngazi ya Kidunia, ya kwamba Dunia Ione "Kama Katibu wake wa Chama ndio huyu aliwahi kua N/Katibu Umoja wa Mataifa basi Chama na Serikali viko shwari"...........
Shtukaaaaa.
Ni lichama ambalo watu wake ndio hao unasikia wakina KIHONGOSI KENANI, MAKONDA ,SAMIA ,N.K .
Sio kwamba wamekuona unafaaa sana Kwa ajili ya Chama, La hashaa, Umechaguliwa ili jina lako litumike kuwafunika Shuka jeupe ili hali wamelala wakiwa wachafuuuu!!.
Shtuka, ni chama linaloenda kujifia hivi karibuni, Linda Heshima yako, ukumbukwe na Tanzania.
CCM imejichokeaa, imejiishia, Haina Pumzi tenaaa!!