Sawa..nitamuuliza grandmazaNimeanza Kuyasikia tokea mwaka 2010 Ndugu na hata Watu wanaoyaongelea haya ni wale waliokula Chumvi na ikawakubali.
Hahahaaaa mshana Jr hata wewe hujui hili??Mmh serious speaking haya ni mapya kwangu
Jr[emoji769]
Hee, makubwa haya duh 😛imani zetu nyingi za ki asili ni upumbavu,kuna baadhi ya nchi hapa Africa mazao yasipostawi shambani wanatumwa wanaume waende porini wachimbe vishimo waweke sehemu za sili wafanye mapenzi na ardhi eti wanafanya ardhi izae
najua watu watapinga hili nitaleta video kutoka youtube
Sent using Jamii Forums mobile app
Imani zipi ambazo sio upuuzi mtupu?dah yani haya ma imani ni upuuzi mtupu
Akina Tomaso mpaka tuoneimani zetu nyingi za ki asili ni upumbavu,kuna baadhi ya nchi hapa Africa mazao yasipostawi shambani wanatumwa wanaume waende porini wachimbe vishimo waweke sehemu za sili wafanye mapenzi na ardhi eti wanafanya ardhi izae
najua watu watapinga hili nitaleta video kutoka youtube
Sent using Jamii Forums mobile app
Ina ukweli 85,% nimeshuhudiaWengine eti kuchuma mboga au maua kwa shamba kama uko mwezin eti majani yanakauka[emoji28][emoji28][emoji28]! Ujinga huu
[emoji848][emoji848][emoji44][emoji44]inatisha lakiniKiongozi, hilo la mtoto wa kiume na mama nilisikia Singida miaka mingi.
Walikuwa wanasema mama anamvulia mwanae na kumwonyesha tupu yake.
Lakini huwa kuna maandalizi mengine yamefanyika. Hatua hiyo ni kama hitimisho tu.
Okay asante
Ni mambo ya mila na desturi hayako kila mahali hivyo ni ngumu kuyajua
😁😁😁mbona mm hayakauki? Nashinda kwa garden napanda maua hakuna lilowah kauka mkuu??
Sure hata mimi niliusoma hapaKuna bwana humu alikuja kuomba ushauri kuhusu kijana wake kutosimamisha..akadai aliambiwa afanye kama wewe unavyouliza hapa,baadae alileta mrejesho kama alifanya hivyo na kweli tatizo la kijana liliisha..sikumbuki jina la uzi lakini upo..nadhani ukiupata jamaa atakua shuhuda mzuri.