Ashakuum si Matusi. Hii Kitu nimekuwa nikiisikia ikijadiliwa sana tu Mijini na Vijijini tena na Wazee je, ina Ukweli wowote ule?

Ashakuum si Matusi. Hii Kitu nimekuwa nikiisikia ikijadiliwa sana tu Mijini na Vijijini tena na Wazee je, ina Ukweli wowote ule?

imani zetu nyingi za ki asili ni upumbavu,kuna baadhi ya nchi hapa Africa mazao yasipostawi shambani wanatumwa wanaume waende porini wachimbe vishimo waweke sehemu za sili wafanye mapenzi na ardhi eti wanafanya ardhi izae
najua watu watapinga hili nitaleta video kutoka youtube

Sent using Jamii Forums mobile app
Hee, makubwa haya duh 😛
 
Akina Tomaso mpaka tuone

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hilo la kwanza kuna mdau humu JF alilitolea ushudua kuwa limemsaidia kijana wake.
 
Kiongozi, hilo la mtoto wa kiume na mama nilisikia Singida miaka mingi.

Walikuwa wanasema mama anamvulia mwanae na kumwonyesha tupu yake.

Lakini huwa kuna maandalizi mengine yamefanyika. Hatua hiyo ni kama hitimisho tu.
[emoji848][emoji848][emoji44][emoji44]inatisha lakini

Jr[emoji769]
 
Ya kwanza nilishawahi sikia, hiyo ya pili ndo nasikia kutoka kwako.
Hakuna udhibitisho wowote kuwa zinafanya kazi, huenda ni mwendelezo wa risasi kuwa maji, kinjekitile type.
 
Kuna bwana humu alikuja kuomba ushauri kuhusu kijana wake kutosimamisha..akadai aliambiwa afanye kama wewe unavyouliza hapa,baadae alileta mrejesho kama alifanya hivyo na kweli tatizo la kijana liliisha..sikumbuki jina la uzi lakini upo..nadhani ukiupata jamaa atakua shuhuda mzuri.
Sure hata mimi niliusoma hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom