Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Hili la majani wala usije ukakosea ndugu, ila kama unataka uthibitisho, nenda kachume Majani ya Maboga, Matembele au Pilipili, utaleta ushahidi mwenyewe.
Au, ukiwa hivyo, pita karibu na ng'ombe utaleta mrejesho mwenyewe.
Bora useme weee..tukisema sie tunaambiwa wajuaji..mwingine kaongezea na ng'ombeπ π ..sijui ukipita jiran yake anakauka maziwa ai vipi?Vyote ni uongo mkubwa
Imani tu....niliendaga sehemu nikakuta wana michachai mingi.Nikaomba kiasi nikapande kwangu.Wakaniambia kachume ila kama upo mwezini tukuchumie maana ukipanda hayataota yatakufa (Wamama wa Kizaramo) ....nikawaambia hapana (nilidanganya)Wengine eti kuchuma mboga au maua kwa shamba kama uko mwezin eti majani yanakauka[emoji28][emoji28][emoji28]! Ujinga huu
Imani tu....niliendaga sehemu nikakuta wana michachai mingi.Nikaomba kiasi nikapande kwangu.Wakaniambia kachume ila kama upo mwezini tukuchumie maana ukipanda hayataota yatakufa (Wamama wa Kizaramo) ....nikawaambia hapana (nilidanganya)
Nilirudi home nikapanda saivi umestawi balaa.
Hayo mengine naona kama ni imani tena yana laana tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mimi bibi yangu marehemu aliniambiaga nikiwa P nisiweke chumvi kwenye chakula nikiwa na pika aweke mtu mwingine at niwekena mwiko.....aaaargh najisahau mara kibao but sioni madhara yoyoteBhaeleze bhaelewe!...haya mambo hakuna naamini na mimi!wengine had kwa matunda ati usichume mti utakauka..yaani inaonekana kama kuwa mwezini ni nuksi fulani na huku ni nature! Mwe !
Au mwanamke akipika chakula akiwa uchi wa mnyama chakula kinakuwa kitamu balaa!Wengine eti kuchuma mboga au maua kwa shamba kama uko mwezin eti majani yanakauka[emoji28][emoji28][emoji28]! Ujinga huu
Hii kaliAu mwanamke akipika chakula akiwa uchi wa mnyama chakula kinakuwa kitamu balaa!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mimi bibi yangu marehemu aliniambiaga nikiwa P nisiweke chumvi kwenye chakula nikiwa na pika aweke mtu mwingine at niwekena mwiko.....aaaargh najisahau mara kibao but sioni madhara yoyote
Aliniambia pia nikiwa napika kwa kuni (kijijini) alinielekeza namna flani ya kuchoma kuni ili nisipate shida kujifungua...zote naona ni imani.
Japo some of her lessons were worth it and meaningful
Mengine imani tu
Sent using Jamii Forums mobile app
kwako mzee mganga ni mapyaa ? basi hatari kwetu yatakuaje sasa ?Mmh serious speaking haya ni mapya kwangu
Jr[emoji769]
Yatumie hayo maarifa in case the need arises...Ndiyo nayasikia leo eti
Mmh..hayaYatumie hayo maarifa in case the need arises...
usipuuze
Uliiba simu ya mama yako kuandika hii Post? Mbona umeiandika ukiwa na hofu hata vituo haina.Kwanza natanguliza Kuomba ( Kuwaombeni ) Radhi kama Maudhui na Uwasilishaji wa Mambo ambayo nataka Kuyagusia hata yatakuwa Mkwazo wa namna yoyote ile Kwako kama ukiyasoma ila nimeamua kuyaleta haya mambo Makuu mawili Kwenu hapa ili leo tuweze Kukata Mzizi wa Fitina.
Je, ni kweli kwamba.....
1. Kama Mama akizaa Mtoto wake wa Kiume halafu akagundua kuwa Uume wake ( Kibolo chake ) hakisimami ( hakidindi ) kama cha Watoto wenzake au hata Mama akigundua kuwa Mwanae wa Kiume ambaye ameshabalehe ila amekumbwa na tatizo la Uume wake ( Bolo lake ) kutosimama ( Kudinda ) basi huyu Mama Kisirisiri tu akiwahi kwenda nae Chumbani huyo Mtoto wake au akimvizia tu amelala Usingizi akigusisha Uke wake basi mara moja tatizo hilo la Mtoto wake linaisha na Uanamume wake unarudi / unakuwepo kama kawaida?
2. Kama Mama akizaa Mtoto wake wa Kike halafu akagundua kuwa ana tatizo la Kutopata Mtoto ( Ugumba ) au akipata Mimba ( Ujauzito ) inaharibika basi huyo Mama akimlazimisha huyo Binti yake avae Chupi zake au za Bibi yake au Shangazi yake au agusishe Maziwa ( Matiti ) yake katika sehemu za Siri za Mama yake ( Ukeni ) basi mara moja hilo tatizo linakwisha na kuwa Historia Kwake?
Wenye kujua zaidi au wenye Uzoefu na haya Mambo Mawili tajwa hapa tafadhali karibuni mfunguke ili nasi tuelimike zaidi.
Kupita karibu na ng'ombe inakuwaje!??Hili la majani wala usije ukakosea ndugu, ila kama unataka uthibitisho, nenda kachume Majani ya Maboga, Matembele au Pilipili, utaleta ushahidi mwenyewe.
Au, ukiwa hivyo, pita karibu na ng'ombe utaleta mrejesho mwenyewe.