Ashakuum si Matusi. Hii Kitu nimekuwa nikiisikia ikijadiliwa sana tu Mijini na Vijijini tena na Wazee je, ina Ukweli wowote ule?

Ashakuum si Matusi. Hii Kitu nimekuwa nikiisikia ikijadiliwa sana tu Mijini na Vijijini tena na Wazee je, ina Ukweli wowote ule?

Hili la majani wala usije ukakosea ndugu, ila kama unataka uthibitisho, nenda kachume Majani ya Maboga, Matembele au Pilipili, utaleta ushahidi mwenyewe.

Au, ukiwa hivyo, pita karibu na ng'ombe utaleta mrejesho mwenyewe.

Jirani yangu alichuma tembele halikikauka mkuu...kuhusu ng'onbe inakuwje? Maana nimezaliwa naliona zizi la ng'ombe had natoka hom
 
Vyote ni uongo mkubwa
Bora useme weee..tukisema sie tunaambiwa wajuaji..mwingine kaongezea na ng'ombe😅😅..sijui ukipita jiran yake anakauka maziwa ai vipi?
Mie nachojua haya mambo watu wa kale waliongea hivi ili mama aliye mwezini ajisitiri asitembeee atulizane home!..
Ile ya kula mayai walisema vile coz walijua ukila mayai mtoto atazaliwa mkubwa itashindwa kupush..so kuepisha vifo wakawa wanasema ukila mayai mtoto anazaliwa na upara
 
Wengine eti kuchuma mboga au maua kwa shamba kama uko mwezin eti majani yanakauka[emoji28][emoji28][emoji28]! Ujinga huu
Imani tu....niliendaga sehemu nikakuta wana michachai mingi.Nikaomba kiasi nikapande kwangu.Wakaniambia kachume ila kama upo mwezini tukuchumie maana ukipanda hayataota yatakufa (Wamama wa Kizaramo) ....nikawaambia hapana (nilidanganya)
Nilirudi home nikapanda saivi umestawi balaa.

Hayo mengine naona kama ni imani tena yana laana tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bhaeleze bhaelewe!...haya mambo hakuna naamini na mimi!wengine had kwa matunda ati usichume mti utakauka..yaani inaonekana kama kuwa mwezini ni nuksi fulani na huku ni nature! Mwe !
 
Bhaeleze bhaelewe!...haya mambo hakuna naamini na mimi!wengine had kwa matunda ati usichume mti utakauka..yaani inaonekana kama kuwa mwezini ni nuksi fulani na huku ni nature! Mwe !
Sasa mimi bibi yangu marehemu aliniambiaga nikiwa P nisiweke chumvi kwenye chakula nikiwa na pika aweke mtu mwingine at niwekena mwiko.....aaaargh najisahau mara kibao but sioni madhara yoyote

Aliniambia pia nikiwa napika kwa kuni (kijijini) alinielekeza namna flani ya kuchoma kuni ili nisipate shida kujifungua...zote naona ni imani.

Japo some of her lessons were worth it and meaningful
Mengine imani tu

Kuni usizigeuze ukiwa unapika...tht mtoto ni kama unamgeuza ukiwa mjmzito...kwamba utapata shida kujifungua ...pia kukaa mlangoni ukiwa na mimba unamfanya mtoto ashindwe kuzaliwa sijui upate complications😅😅! Mimba yangu ya kwanza nilikua nakaa balaa mlangoni nikajiopen fresh tu ofcorse mengine ni funzo kubwa!
 
Kwanza natanguliza Kuomba ( Kuwaombeni ) Radhi kama Maudhui na Uwasilishaji wa Mambo ambayo nataka Kuyagusia hata yatakuwa Mkwazo wa namna yoyote ile Kwako kama ukiyasoma ila nimeamua kuyaleta haya mambo Makuu mawili Kwenu hapa ili leo tuweze Kukata Mzizi wa Fitina.

Je, ni kweli kwamba.....

1. Kama Mama akizaa Mtoto wake wa Kiume halafu akagundua kuwa Uume wake ( Kibolo chake ) hakisimami ( hakidindi ) kama cha Watoto wenzake au hata Mama akigundua kuwa Mwanae wa Kiume ambaye ameshabalehe ila amekumbwa na tatizo la Uume wake ( Bolo lake ) kutosimama ( Kudinda ) basi huyu Mama Kisirisiri tu akiwahi kwenda nae Chumbani huyo Mtoto wake au akimvizia tu amelala Usingizi akigusisha Uke wake basi mara moja tatizo hilo la Mtoto wake linaisha na Uanamume wake unarudi / unakuwepo kama kawaida?

2. Kama Mama akizaa Mtoto wake wa Kike halafu akagundua kuwa ana tatizo la Kutopata Mtoto ( Ugumba ) au akipata Mimba ( Ujauzito ) inaharibika basi huyo Mama akimlazimisha huyo Binti yake avae Chupi zake au za Bibi yake au Shangazi yake au agusishe Maziwa ( Matiti ) yake katika sehemu za Siri za Mama yake ( Ukeni ) basi mara moja hilo tatizo linakwisha na kuwa Historia Kwake?

Wenye kujua zaidi au wenye Uzoefu na haya Mambo Mawili tajwa hapa tafadhali karibuni mfunguke ili nasi tuelimike zaidi.
Uliiba simu ya mama yako kuandika hii Post? Mbona umeiandika ukiwa na hofu hata vituo haina.
 
Hili la majani wala usije ukakosea ndugu, ila kama unataka uthibitisho, nenda kachume Majani ya Maboga, Matembele au Pilipili, utaleta ushahidi mwenyewe.

Au, ukiwa hivyo, pita karibu na ng'ombe utaleta mrejesho mwenyewe.
Kupita karibu na ng'ombe inakuwaje!??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom