What you think what comes...Imani tu....niliendaga sehemu nikakuta wana michachai mingi.Nikaomba kiasi nikapande kwangu.Wakaniambia kachume ila kama upo mwezini tukuchumie maana ukipanda hayataota yatakufa (Wamama wa Kizaramo) ....nikawaambia hapana (nilidanganya)
Nilirudi home nikapanda saivi umestawi balaa.
Hayo mengine naona kama ni imani tena yana laana tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Uko sahihi kabsa bibie..na yule nae anae amini ukichuma ukiwa p mboga zinakauka huenda nae yupo sahihi,labda nigusie kitu katka aya mambo ya Imani.
Binadamu tumeumbwa na nguvu fulani ambazo tukizifunganisha na Imani zetu na tukaamini kweli kweli basi kuna asilimia kubwa ya kutolea kile unacho kiamini,bila kujalisha hyo Imani yako inaiegemeza kwa nani either kwa Mungu wa kweli au wa uongo.
Na ndomana zamani mababu walikuwa wakiomba mizimu,miti,masana n.k wawatatulie shida zao na kweli shida zao zilikuwa zinatatuliwa coz walikuwa na Imani na matarajio ya hali ya juu,japokuwa kiuhalisia hvyo walivyokuwa wanaviomba vilikuwa na adi sasa havina uwezo wowote wa kutatua tatizo.
Sasa hayo yote yanatokana na kitu kinachoitwa power of attraction ambayo kila mtu anayo.
Power of attraction inaanzia ktk ubongo wako ambapo kuna portion ktk mind yako ina excute hyo power...ambayo hyo portion inajulikana Kama subconscious mind.
Apa napenda kushauri utafute kitabu kinachoitwa the power of your subconscious mind kinaeleza kwa kina ayo mambo.
If you hold negative beliefs in your subconscious mind, your wll tend to experience negative realities in your life and vice versa is true.
Whatever you're feeling is perfect reflection of what in the process of becoming
So hivi vitu vya Iman huwa vinafanya kazi kulingana na kiwango cha Imani yako na matarajio yako na si mambo yakujarbu jaribu.
Kama unataka aya mambo yatokee vile unavyotarajia just focus on what u want but most people focus on what they don't what Kama wewe apo bibie.
Natumaini nimeeleweka japo sipo vzuri Kwenye uandishi.
Haya ni ya kimila zaidi kulingana na makabila
Kwa namba moja sio mgeni na kuna mtu alishamfanyia mwanae akapona. Tena yeye alimfanyia akiwa bado mdogo sana alipogungua tuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekuelewa saana mkuu...hyo nguvu ya kuvuta naielewa!...kuna kipindi nilianza kujifunza nikahis ntakuwa mental....upande wetu sisi tunazaa zaisi watoto wa kiume..ππbasi dada yangu akaanza kusoma hiyo nguvu ya kuvuta .akaanza nunua nguo za watoto wa kike hana mimba...akatafuta na jina kbs la mtoto wa kike...! Alipoamua kubeba mimba akaleta mdada! Mie naijua sana hiyo power of attraction...kuna mhindi mmoja you tube ndo anaielezeaga poa sana..!.ni kweli kila kitu kinaanzia kwa ubongo aise! Bas mada imefungwa!
Naweza kuamini kabisa nina miezi miwili sasa nipo sumbawanga ninayoyaona mwenyewe ni hataree.kuna dawa ya asili hiyo ya kufanya dhakari yako isimame sawasawa au ikiwa haidindi vizuri au unapiga kibao kimoja ukipewa huo mti shamba siku moja tu tatizo lako kwisha kabisa ila usiwe umezaliwa nalo tu.jinsi ya kutumia ni inachemshwa kisha inawekwa kwenye kichupa hivi cha plastic then unajiingiza kile kichupa kwa haja kubwa kwa mtindo wa kuibinya ule mmiminiko wa maji uingie mk$nduni.hiyo siku utaharisha mpaka damu aisee .(nilìtumia ndio maana nimesimulia) miti shamba ipo jamani.ukitoka hapo mwanamke lazima aombe pooo mwili unakuwa mwepesi hamu juu kitu 4g
Nashukuru sana Kama umenielewa na nafurah kuona ulishawai kushuhudia hiyo nguvu...
Mana wachache Kwenye wengi wanaoweza kaumini hyo power,pia wachache sana wenye uwezo wa kuitumia hyo power na kuwaletea faida ktk maisha yao.
Mm ni muumini mzur wa dini ya kiislamu,huwa naamini hii power na hasa ninaitumia ninapoomba shida zangu kwa Mwenyezi Mungu,na huwa nafanikiwa....kikubwa ni kuamini,kuhisi (focus) na kutarajia.
Ila nimependa process alizotumia huyo dada kuapply hiyo nguvu.
Kwahiyo her umuache abaki na ukhanithi wake?Mambo hayo hata yakifanya kazi yanafanya kazi kwa kutumia nguvu za giza na matokeo yake yanakuwa mabaya kila wakati. Hao waliopata huduma hiyo wanakuwa initiated/au wanasimikwa kwenye mambo ya kishetani na watapata madhara makubwa na wataishia kuwa katika himaya ya shetani kwani wametumia njia ya isiyo ya Kimungu kupata waliyoyapata. Nashauri mtu asifanye hivyo.
Wangari Maathai nimesoma sana Comments zako hapa nakuomba andika Kitabu kwani una Experience kubwa za Kijamii Dada.
Islam mnajifunza?..mie naivuta zaidi kupata mafanikio aisee...ila inabidi uwe very positive!π π !usiwe ingia toka...kama una machapisho naomba
Hii nguvu inafungamana na maswala mazima ya Imani (kuamini) so unavyoomba kitu huwa unaamini ulimwengu unakusikia na huo ulimwengu ndo utakupa hcho unachokiomba au kitaka coz unaamini ulimwengu ndo unakilakitu (power of hearing)...
Neno ulimwengu limebeba maana pana kulingana na Imani unayoiamini (either Mungu,sanamu,mzima n.k)...
Ata dada ako aliamini hili kuwa ulimwengu umemsikia ndo mana akaanza kununua nguo na kujianda kihisia zaidi kwamba atayar kashapata mtoto wa kike.
Nina vitabu, audio na short video ya hv vtu nicheki tunaweza share.
Atakukimbiza hatari, anaweza kukuua kama hakuna watu karibu
Akikata kamba kama kafungwa, anaweza kukuua
ππππ jf never boringAtakukimbiza hatari, anaweza kukuua kama hakuna watu karibu
Sasa mwamba haujiulizi kwanini huyo mtoto hakupona hilo tatizo wakati anazaliwa kama alizaliwa kwa njia ya kawaida siyo upasuaji?Kuhusu suala la kwanza hata mimi nilishalisikia kwa kuhadithiwa tu lakini sijawahi kuthibitisha
Mambo ya kiimani zaidi, wanasema hata kijana wa Kikurya akikuibia na akikamatwa akihojiwa akikataa kama hajaiba inatakiwa arambishwe K ya ng'ombe hapo lazima hayokubali wanasema akiramba tu basi huko nyumbani kwao kijijini hali inakuwa sio shwari. [emoji38][emoji38][emoji38]Sijui hii nayo ina ukweli? Ila wanasema kama kaiba kweli ataongea ukweli wote lakini K ya ng'ombe abadan hatoramba! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
"Ψ±Ω ΨΆΨ§Ω ΩΨ±ΩΩ ΩΨ΅ΩΩ Ω ΩΨ¨ΩΩ"