Uko sahihi kabsa bibie..na yule nae anae amini ukichuma ukiwa p mboga zinakauka huenda nae yupo sahihi,labda nigusie kitu katka aya mambo ya Imani.
Binadamu tumeumbwa na nguvu fulani ambazo tukizifunganisha na Imani zetu na tukaamini kweli kweli basi kuna asilimia kubwa ya kutolea kile unacho kiamini,bila kujalisha hyo Imani yako inaiegemeza kwa nani either kwa Mungu wa kweli au wa uongo.
Na ndomana zamani mababu walikuwa wakiomba mizimu,miti,masana n.k wawatatulie shida zao na kweli shida zao zilikuwa zinatatuliwa coz walikuwa na Imani na matarajio ya hali ya juu,japokuwa kiuhalisia hvyo walivyokuwa wanaviomba vilikuwa na adi sasa havina uwezo wowote wa kutatua tatizo.
Sasa hayo yote yanatokana na kitu kinachoitwa power of attraction ambayo kila mtu anayo.
Power of attraction inaanzia ktk ubongo wako ambapo kuna portion ktk mind yako ina excute hyo power...ambayo hyo portion inajulikana Kama subconscious mind.
Apa napenda kushauri utafute kitabu kinachoitwa the power of your subconscious mind kinaeleza kwa kina ayo mambo.
If you hold negative beliefs in your subconscious mind, your wll tend to experience negative realities in your life and vice versa is true.
Whatever you're feeling is perfect reflection of what in the process of becoming
So hivi vitu vya Iman huwa vinafanya kazi kulingana na kiwango cha Imani yako na matarajio yako na si mambo yakujarbu jaribu.
Kama unataka aya mambo yatokee vile unavyotarajia just focus on what u want but most people focus on what they don't what Kama wewe apo bibie.
Natumaini nimeeleweka japo sipo vzuri Kwenye uandishi.