Ashakuum si Matusi. Hii Kitu nimekuwa nikiisikia ikijadiliwa sana tu Mijini na Vijijini tena na Wazee je, ina Ukweli wowote ule?



🤣🤣🤣dah haya mambo jamani....kuna nyingine wanasema ukitaka usirudi sehemu unayoishi kanywee maji ya kunywa choon..ati utasahau kbs kurudi ...hahahaa
 
Ukisoma haya machapisho kila kitu unachotaka kiko kwa mind yako..very powerful!...nilisoma jinsi ya kuifanya nyota yako ing'ae ... kusafisha yako aisee😄😄😄!...! Ntayarudia tena..ntakuchek soon mkuu!
Yaah...upo sahihi kabsa.
Karibu Sanaa..
 

Mkuu ukitumia logic na scientific explanations kwenye issue kama hizi utaona kama kila kitu ni upuuzi.

Ukiambuwa uoneshe uhusiano wa kutwanga madawa na kunuiza katika kumuharibia mtu mafanikio yake sidhani kama utaweza.

Mwisho wa siku ndio maana nilisema "sijathibitisha" means haijawahi hata kutokea kwa mtu wangu wa karibu ingawa mambo ya kiimani au dark magic huwa siyapuuzii completely mkuu. Naamini yapo
 
Mkuu sikatai, Lisemwalo lipo lakini na hayo madhara ya kisayansi yasemwayo yapo.
Kwa mfano mambo ya kukata kimeo yapo na yana saidia watu lakini yameleta shida za HIV na tetanus kama vifaa vya kukatia vimeo havikutakaswa ipasavyo.
 
Ndugu Wewe ni Mhaya au Mnyiramba au Muha au Mnyaturu au Mkara au Mrangi hivyo Kimila una Utani nao hawa Wakurya?
Mi Mzaramo mixer [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]

"رمضان كريم وصوم مقبول"
 
Mkuu sikatai, Lisemwalo lipo lakini na hayo madhara ya kisayansi yasemwayo yapo.
Kwa mfano mambo ya kukata kimeo yapo na yana saidia watu lakini yameleta shida za HIV na tetanus kama vifaa vya kukatia vimeo havikutakaswa ipasavyo.
True mkuu... sema hizo ni special cases.
mfano huyo mtu niliyehadithiwa (kijijini )a likuwa ni mtu mzima hanithi ila inasemekana alipotumia hiyo njia akaoa kabisa. Hivyo siwezi jua ni kweli au ni uongo maana mtu mwenyewe sikuwa namjua
 
Tanzania tuna imani nyingi za kipumbavu, ila hizi nazosoma hapa ni za kipumbavu zaidi

aim for the stars
 
Huu ni ushirikina wa kiwango cha shahada ya pili
Sent using Jamii Forums mobile app
 
We bado sana UKO kwenye utumwa Wa White pig unawadharau wazee wako
 
Tanzania tuna imani nyingi za kipumbavu, ila hizi nazosoma hapa ni za kipumbavu zaidi

aim for the stars

Na Wewe baada ya Kujua kuwa linalojadiliwa hapa ni la Kipumbavu na bado ukachangia basi ndiyo Mpumbavu Mkomavu hasa.
 
Nikipata majibu nitarudi...

Mleta mada lile neno la kizungu la "MotherFucke.r" ndiyo lilipoanzia huko, pande za Jamaica, kwa mambo kama hayo uliyoelezea No.1



Cc: mahondaw
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…