Ashakuum si Matusi. Hii Kitu nimekuwa nikiisikia ikijadiliwa sana tu Mijini na Vijijini tena na Wazee je, ina Ukweli wowote ule?

Ashakuum si Matusi. Hii Kitu nimekuwa nikiisikia ikijadiliwa sana tu Mijini na Vijijini tena na Wazee je, ina Ukweli wowote ule?

Kiongozi, hilo la mtoto wa kiume na mama nilisikia Singida miaka mingi.

Walikuwa wanasema mama anamvulia mwanae na kumwonyesha tupu yake.

Lakini huwa kuna maandalizi mengine yamefanyika. Hatua hiyo ni kama hitimisho tu.
Sio kumuonyesha mkuu,ni kugusisha kabisa nyeti,ila hua inafanyika na mtoto asijue,aidha akiwa usingizin,au itafutwe njia yoyote ya kumrubun mtoto.coz km ameanza kujielewa hlo suala litakuja kuharib saikolojia yake ukubwan

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji16][emoji16][emoji16]mbona mm hayakauki? Nashinda kwa garden napanda maua hakuna lilowah kauka mkuu??
Kumbe wewe ni ke!
Kuna sehemu nina mashamba inje ya mji huwa nikienda huko kwaajili ya kuchukua mazao na mbogamboga wanaohudumia shamba wakiwa katika hali hiyo huniambia wakichuma mapapai, maboga au msusa yatakauka nichume mwenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe wewe ni ke!
Kuna sehemu nina mashamba inje ya mji huwa nikienda huko kwaajili ya kuchukua mazao na mbogamboga wanaohudumia shamba wakiwa katika hali hiyo huniambia wakichuma mapapai, maboga au msusa yatakauka nichume mwenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app

Kuna jirani yangu ana project ya uyoga..so naingiaga najichumia anapima..akaniambia madame kama uko mp usichume na kwel nilikua MP ..nikamwambia hebu leo tujaribu nilichuma kila kona za ukuta alopanda uyoga...baad ya week akaniambia mbona unachanua...akaja naye kwangu akachuma tembele akiwa mp..halijakauka ...tukabaki kucheka tu na imani zenu haba...!

Wanakuja watu nawachumia maua nikiwa hivo mbona hayakauki😆😆😆😆! Haya mambo ni imani...mie kitu nachoamini kwenye imani ni LAANA! Basi!
yes mie mama
 
Mambo hayo hata yakifanya kazi yanafanya kazi kwa kutumia nguvu za giza na matokeo yake yanakuwa mabaya kila wakati. Hao waliopata huduma hiyo wanakuwa initiated/au wanasimikwa kwenye mambo ya kishetani na watapata madhara makubwa na wataishia kuwa katika himaya ya shetani kwani wametumia njia ya isiyo ya Kimungu kupata waliyoyapata.
Nashauri mtu asifanye hivyo.
 
Wengine eti kuchuma mboga au maua kwa shamba kama uko mwezin eti majani yanakauka😅😅😅! Ujinga huu
Hili la majani wala usije ukakosea ndugu, ila kama unataka uthibitisho, nenda kachume Majani ya Maboga, Matembele au Pilipili, utaleta ushahidi mwenyewe.

Au, ukiwa hivyo, pita karibu na ng'ombe utaleta mrejesho mwenyewe.
 
Sio hvyo tu aingie kwenye shamba la matikiti maji akiwa yupo kwenye hedhi aone, matikiti yote yakikomaa yanapasuka yenyewe
 
1. Kama Mama akizaa Mtoto wake wa Kiume halafu akagundua kuwa Uume wake ( Kibolo chake ) hakisimami ( hakidindi ) kama cha Watoto wenzake au hata Mama akigundua kuwa Mwanae wa Kiume ambaye ameshabalehe ila amekumbwa na tatizo la Uume wake ( Bolo lake ) kutosimama ( Kudinda ) basi huyu Mama Kisirisiri tu akiwahi kwenda nae Chumbani huyo Mtoto wake au akimvizia tu amelala Usingizi akigusisha Uke wake basi mara moja tatizo hilo la Mtoto wake linaisha na Uanamume wake unarudi / unakuwepo kama kawaida?.

Hii kitu huwa nasikia ipo kweli ila inabidi umfanyie akiwa bado mdogo sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom