Ashikiliwa mauaji ya mtangazaji wa ITV, Blandina Sembu

Daah binadamu wamekuwa kama wanayama jamani
 
Safi sana kwa jeshi la polisi! Mkiamua mnaweza. Kamata hao wauaji wote ili wapate adhabu inayostahili, kwa huo unyama wao.
 
Dah.....halafu unaweza kuta sababu ya mauwaji ni za kijinga kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…