Mtu mmoja anaefahamika kwa jina la Meshack Azikam (23) mkazi wa mtaa Kichangani Mkoa wa Morogoro anashikiliwa na jeshi la polisi mkoani humo kwa kosa la kuiba misalaba 14 katika makaburi ya Kola.[emoji23]Mtu mmoja anaefahamika kwa jina la Meshack Azikam (23) mkazi wa mtaa Kichangani Mkoa wa Morogoro anashikiliwa na jeshi la polisi mkoani humo kwa kosa la kuiba misalaba 14 katika makaburi ya Kola...
Mwaka 2015 wezi/majambazi walilipua kwa mabomu kaburi lililojengwa kwa marumaru kule Afrika Kusini katika Jimbo la North-West ili kuiba Dhahabu aliyozikwa nayo marehemu.Mtu mmoja anaefahamika kwa jina la Meshack Azikam (23) mkazi wa mtaa Kichangani Mkoa wa Morogoro anashikiliwa na jeshi la polisi mkoani humo kwa kosa la kuiba misalaba 14 katika makaburi ya Kola...
CCM mpo? Mnakoipeleka nchi sipo! Mama kafanya hiki na kile, hakuna tija katika uchumi wa mtu mmoja mmoja!!Mtu mmoja anaefahamika kwa jina la Meshack Azikam (23) mkazi wa mtaa Kichangani Mkoa wa Morogoro anashikiliwa na jeshi la polisi mkoani humo kwa kosa la kuiba misalaba 14 katika makaburi ya Kola...
Mimi ndugu yangu kazikwa makaburi ya kola na waliiba msalaba na kung’oa kila kitu kilichowekwa ktk kaburi Yaani nilijua nimekwenda kaburi tofautiMtu mmoja anaefahamika kwa jina la Meshack Azikam (23) mkazi wa mtaa Kichangani Mkoa wa Morogoro anashikiliwa na jeshi la polisi mkoani humo kwa kosa la kuiba misalaba 14 katika makaburi ya Kola.
Kamanda wa jeshi la polisi Mkoa wa Morogoro ACP Alex Mkama amesema, jeshi hilo lilipokea malalamiko kuwepo kwa wizi wa misalaba ndipo walipofanya msako na kufanikiwa kumkamata mtuhumiwa huyo ambaye ni fundi seremala ambaye anatumia misalaba hiyo kama vyuma chakavu.
Miaka ya nyuma 90 kuna mjomba wangu alikuwaga baharia, alikufagaMtu mmoja anaefahamika kwa jina la Meshack Azikam (23) mkazi wa mtaa Kichangani Mkoa wa Morogoro anashikiliwa na jeshi la polisi mkoani humo kwa kosa la kuiba misalaba 14 katika makaburi ya Kola.[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana!Mimi ndugu yangu kazikwa makaburi ya kola na waliiba msalaba na kung’oa kila kitu kilichowekwa ktk kaburi Yaani nilijua nimekwenda kaburi tofauti
Ova
Duh pale kuna wezi balaaMimi ndugu yangu kazikwa makaburi ya kola na waliiba msalaba na kung’oa kila kitu kilichowekwa ktk kaburi Yaani nilijua nimekwenda kaburi tofauti
Ova
Makaburi tu ya kinondoni uwizi upo ila wanaiba mishumaa na maua
Ila siku hizi wafiwa wakipeleka maua
Huwa wanayanyofoanyofoa
Ova
Wacha masikhara na njaa mkuu, mtu ashakufa msalaba wa nini kwake?Misalaba hapana. Bora niendelee kulala njaa.
Wabongo nuksi sanaWanayaunguza kabisa na mishumaa, Yaani maua yanakuwa uchafu juu ya kaburi Kwa kuchomwa moto na yote hii kisa wasiibe, Yaani ni shida Tupu, pale kinondoni niliacha mishumaa ktk kaburi la Baba yangu Yaani ile mishumaa ya kuwaka Kwa siku Tatu Lakini baada ya mazishi siku inayofuatia nilikwenda pale na nilikuta mishumaa yote imepotea wameiba aisee
Ova and out