Wild Flower
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 378
- 766
Mwanamieleka wa Cuba, Mijaín López Núñez, amekuwa mwanariadha wa kwanza kushinda medali tano za dhahabu mfululizo katika Michezo ya Olimpiki.
Baada ya kushinda kwa pointi 6-0 katika mieleka ya Greco-Roman huko Paris, aliondoa viatu vyake uwanjani kuashiria kustaafu kwake kutoka kwenye mchezo huo.
Mijaín, anayejulikana kwa jina la 'El Terrible,' ameshinda medali ya dhahabu tangu alipopata ya kwanza huko Beijing mwaka 2008.
=====For English Audience======
Cuban wrestler Mijain Lopez became the first athlete to win five consecutive individual Olympic gold medals in the same event with victory in the 130kg Greco-Roman category.
Lopez, who turns 42 in two weeks, defeated Chile's Yasmani Acosta to take the record outright.
He previously held the title jointly with four-time successive winners Carl Lewis (athletics/long jump), Michael Phelps (swimming/200m medley), Katie Ledecky (swimming/800m freestyle), Al Oerter (athletics/discus), Paul Elvstrom (sailing) and Kaori Icho (wrestling).
Having come out of retirement after a three-year absence from the mat, Lopez beat world champion Amin Mirzazadeh in the quarter-finals before beating the Cuban-born Acosta.
SOURCE: BBC SPORTS