zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Habari za jioni wakuu, niende moja kwa moja kwenye mada....
Kama Kichwa cha habari kinavyojieleza nimekuwa nikijiuliza sana kwa muda mrefu hili swali je wayahudi halisi wamekwenda wapi na je hawa wayahudi wa ashkenazi asili yao ni ipi hasa ??
Tukisoma kwenye biblia Mwanzo 10 inasema Ashkenazi alitokana na Gomer mtoto wa japheth baba wa wazungu wote
Mwanzo 10
1 Hivi ndivyo vizazi vya wana wa Nuhu, Shemu, na Hamu, na Yafethi. Na kwao walizaliwa wana wa kiume baada ya gharika.
2 Wana wa Yafethi ni Gomeri, na Magogu, na Madai, na Yavani, na Tubali, na Mesheki, na Tirasi.
3 Na wana wa Gomeri ni Ashkenazi, na Rifathi, na Togama.
ilihali kwenye mwanzo 10 hiyo hiyo pamoja na vitabu vingi vya kihistoria vinatuonyesha wayahudi/Israelites halisi ni wale waliozaliwa kwenye kizazi cha SHEM kupitia Abraham ambaye kupitia yeye ndio taifa la israel likaanzishwa
Mwanzo 12
7.BWANA akamtokea Abramu, akasema, Uzao wako nitawapa nchi hii. Naye huko akamjengea madhabahu BWANA aliyemtokea
Mwanzo 15
18 Siku ile BWANA akafanya agano na Abramu, akasema, Uzao wako nimewapa nchi hii, kutoka mto wa Misri mpaka huo mto mkubwa, mto Frati,
Nimeuliza hivi sababu kuna mkanganyiko hasa kwa wakristo kwamba Israel ni taifa teule ila ambacho hawafahamu ni kwamba 90% ya wayahudi/ waisrael waliopo duniani leo ni Ashkenazi jews yaani sio damu ya abraham KABISA je wanaposema ni taifa teule na wanalihusisha na israel iliyotajwa kwenye biblia ilihali hawa wa sasa ni tofauti kabisa na wa kwenye biblia wale walikuwa jamii ya SEMITIC ila hawa wa sasa ni ARYANS
Kwa kuwa JF ni kisima cha maarifa nimeona nilete mada hii ili wajuvi wa mambo waweze kutujuza zaidi je Ashkenazi jews asili yao kabisa ni ipi maana waandishi kibao wanamaoni tofauti na je Wayahudi asili walitoweka wapi??
Natanguliza shukrani kwa wote
Cc: Malcolm Lumumba , GuDume , Izzo , na wadau wote wa jukwaa hili