apakak
JF-Expert Member
- Dec 2, 2012
- 898
- 661
Kwahiyo khazar hawana uhusiano wowote wa waisraeli wa kutokea mashariki ya kati??
Khazar ni wazungu. Wazungu na mashariki ya kati wana uhusaiano gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo khazar hawana uhusiano wowote wa waisraeli wa kutokea mashariki ya kati??
Nilisha iongelea hii mada kuhusu taifa la israel na wayahudi wa aina zoote plz soma hii link hapa chini itakusaidia sana mkuuHabari za jioni wakuu, niende moja kwa moja kwenye mada....
Kama Kichwa cha habari kinavyojieleza nimekuwa nikijiuliza sana kwa muda mrefu hili swali je wayahudi halisi wamekwenda
Natanguliza shukrani kwa wote
Cc: Malcolm Lumumba , GuDume , Izzo , na wadau wote wa jukwaa hili
Duh sasa waisraeli original wapo wapiKhazar ni wazungu. Wazungu na mashariki ya kati wana uhusaiano gani?
Hawapo.Wame go extinctDuh sasa waisraeli original wapo wapi
Asee nmesoma mkuu ubarikiwe naona umemwaga facts zote pamoja na nyaraka..... Hicho kitabu 13th tribe ulichoweka nmekisoma dah nimefunguka sana ufaham kuhusu hii propagandaNilisha iongelea hii mada kuhusu taifa la israel na wayahudi wa aina zoote plz soma hii link hapa chini itakusaidia sana mkuu
Uhalisia wa taifa la Israeli
Ila kwa haraka haraka wayahudi halisi walikuwa/wapo ni watu weusi na hao wazungu wanaojiita wayahudi ni “FAKE” pandikizi la shetani la makusudi kabisa ili akija kama mpinga kristo wamkubali! Wayahudi halisi wapo utumwani bado kwakuwa walimkataa Yesu kama masihi wao ile laana ya kumbukumbu la torati 28 ipo juu yao!!
**plz someni vizuri hiyo link hapo juu kila kitu nimeweka maidanganyike na hao wayahudi wa sasahv hapo israel**
nimefurahi kusikia umesoma hiyo link kwenye thread yangu wengi huwa hawasomi kilichoandikwa wanaishia kukashifu tu bado ile pombe ya "israel taifa teule" ipo vichwani mwao tafadhali sambaza hiyo link kwenye platform za social media zingine kuwazindua na wengine wengi zaidi ili wapate kuijua kweli zaidi hasa kwa sisi wakristoAsee nmesoma mkuu ubarikiwe naona umemwaga facts zote pamoja na nyaraka..... Hicho kitabu 13th tribe ulichoweka nmekisoma dah nimefunguka sana ufaham kuhusu hii propaganda
Hiyo ni changamoto sana mkuu kuna wafia dini hata hawataki kuongeza maarifa wao wakikusikia unakosoa israel tu....wao wanaanza kukuona kama mpinga kristo au gaidi flani hivinimefurahi kusikia umesoma hiyo link kwenye thread yangu wengi huwa hawasomi kilichoandikwa wanaishia kukashifu tu bado ile pombe ya "israel taifa teule" ipo vichwani mwao tafadhali sambaza hiyo link kwenye platform za social media zingine kuwazindua na wengine wengi zaidi ili wapate kuijua kweli zaidi hasa kwa sisi wakristo
hao wafia dini wapo tu mkuu ndio wale kipindi cha Yesu walikuwa wanaitwa MAFARISAYO hata kipindi hiki wapo wengi sana ila kinachonitia moyo ni kuwa hata mimi mwanzo nilikuwa kama wao ila baadaye nikaujua ukweli kwa kuruhusu kutafakari yale ninayoyaamini au kuambiwa kanisani,wengi wa wakristo tupo kama makinda ya ndege kuasama tu midomo tayari kupokea kutoka kila anayesimama kwenye kiota! Hii maada ya "Uhalisia Wa Wayahudi" kumbe ilikuwa inajulikana tangia enzi na enzi na watu wengi sana maarufu duniani walikuwa wanaujua ukweli kuwa hawa wayahudi wa sasa ni pandikizi la shetani sio halisi! Yesu alitoa utabiri kwenye Luka 21:24 baada ya wayahudi halisi kumkataa kama masihi wao laana ambayo wangeipata ni kuwa watufukuzwa pale israel na Yerusalem itakaliwa na "MATAIFA" hadi muda wa MATAIFA utakapotimilizwaHiyo ni changamoto sana mkuu kuna wafia dini hata hawataki kuongeza maarifa wao wakikusikia unakosoa israel tu....wao wanaanza kukuona kama mpinga kristo au gaidi flani hivi
Israelites na Jews ni vitu viwli tofauti. Hao Ashkenza jews wametokana na taifa la Khazar
huwa nawaambiwa watu wwaisrael waliaaniwa watu hawanieewu na hawa wacungaji na elimu zao za hapa na pale hata biblia hawaielewi.Hapo sasa ndiyo unatakiwa utumie akili, kwenye kumbukumbu la torati ukisoma taratibu
Utaposa mke, lakini mtu mwingine atakutana naye kimwili. Utajenga nyumba, lakini hutaishi ndani yake. Utapanda shamba la mizabibu, lakini hutakula matunda yake. 31Ng'ombe wako atachinjwa mbele ya macho yako lakini hutakula nyama yake. Punda wako atachukuliwa kwa nguvu kutoka kwako wala hatarudishwa. Kondoo wako watapewa adui zako, wala hakuna mtu ye yote wa kuwaokoa. 32Wanao na binti zako watatolewa kwa mataifa mengine, nawe utayachosha macho yako ukiwatazamia siku baada ya siku, hutakuwa na nguvu kuinua mkono. Taifa usilolijua watakula mazao ya nchi yako na taabu ya kazi yako, hutakuwa na cho chote, bali kuonewa kikatili siku zako zote. 34Vitu utakavyoviona kwa macho yako vitakufanya kuwa na wazimu. 35