Ashtakiwa kwa kosa la Ushoga...

Huuuuuwiiiii jamani bora ukose kula sio jf. Boflooooo ila kiboko yako chai. Hahahahaaaaa mwe ndiswa ndejinyo.
 
Hivi kumbe wenye sura nzuri ndo wanabokoa makalio?..Nilikuwa sijui.

Simaanishi hivyo. Ila wewe hata kama uko ******, unaweza kumbokoa huyu punga amekomaa hivyo. Khaa mbayaa
 
Boflo huna maana kabisa...sababu sio mali ya serikali basi ndio unatumia tu bila kufuata matumizi na taratibu zake?
mweeee! Taratibu zipi? Za kulipa vat?
Aaaaaah jf rahaaa utam.
 
boflooooo.. dah ulikuwepo mahakamani nini? naona hadi ukawafotoa waheshimiwa hao!! nimecheka sana boflo!!!asante! dah!
View attachment 70023
Jamaa alishtakiwa kwa kosa la "Ushoga".

HAKIMU-Kwanini unajihusisha na tabia ya "Ushoga"?.

MTUHUMIWA-Samahani hakimu,Sikujuwa kama mku*d* ni mali ya Serikali
 
Jamani, huyo shoga alivyo mkavu utamlaje??
Yaani kakomaa hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…