Ashukuriwe aliyevumbua bra

Ashukuriwe aliyevumbua bra

Habari za mchana waungwana,

Huwa najiuliza huyu aliyevumbua bra aliwaza nini? Hebu fikiria kusingekuwa na bra hivi tungeishije wanawake...
Yaani bila bra wengine tusingetoka ndani...

Kudos kwa aliyevumbua

CL
Wenye mabeseni mngekoma
 
KWA HISANI YA PICHA


600-shape-you-see-in-bra-adwerts-all-of-the-15115744.png


l-28172-taking-your-bra-off-after-a-long-day-like.jpg
 
Hizo bra zishaniingiza kingi sana

Unamuangalia mtu unaona nyonyo limejaa fresh akivua ni ndala fulani hivi nusu kushiba nusu kukonda. Angalau Edyna hakuniangusha.
 
Kesho tutaona uzi wenye tittle "Ashukuriwe aliyevumbua chupi"
 
Hizo bra zishaniingiza kingi sana

Unamuangalia mtu unaona nyonyo limejaa fresh akivua ni ndala fulani hivi nusu kushiba nusu kukonda. Angalau Edyna hakuniangusha.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom