Ashura Masoud: Tunao ushahidi wa Picha, Video na Miamala ya Fedha kwa baadhi ya Wanachama, tutauweka hadharani

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Katibu wa CHADEMA Kanda ya Kati, Ashura Masoud, amesema chama hicho kina taarifa na ushahidi wa awali unaojumuisha picha, video, mawasiliano pamoja na miamala ya fedha inayodaiwa kutumwa kutoka kwa wanachama wa kile alichokiita "chama cha kikaragosi" kwenda kwa baadhi ya wanachama wa CHADEMA.

Amesema ushahidi huo umekabidhiwa kwa Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA kwa ajili ya uchambuzi na hatua za kisheria, akidai kuwa baadhi ya viongozi wa majimbo, hususan mkoani Morogoro, walipigiwa simu na wengine walipokea fedha lakini hawakuitikia wito huo.

Your browser is not able to display this video.
 
Ila alaaniwe aliyeanzisha hizo taka taka za ccm , ccm ni rubbish Kabisa ,absolutely rubbish
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…