Ashurey ndio dancer namba moja wa kike Tanzania

Ashurey ndio dancer namba moja wa kike Tanzania

sinza pazuri

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2014
Posts
3,344
Reaction score
9,066
20250313_205936.jpg

Ashurey kwa sasa ndio dancer namba moja wa kike Tanzania.

Vigezo anavyowapita wengine wote.
1. Anajua kucheza style zote za muziki
2. Ni mbunifu
3. Moves zake zinabadilika
4. Anaweza kucheza freestyle
5. Ni trainer mzuri sana
 
Kuna yule demu black sana namuonaga kwenye video mbali mbali za wasanii kama marioo,jay melody,mbosso anaitwaga nani vile,je ni msanii au ni dancer
 
Baada ya WCB kumbania Angel nyigu naona mnampamba mwingine kwa nguvu
Hapo WCB kuna majungu na ukikosana nao wanapanga mkakati wakushushe wampandishe mwingine.
Huyo dada/dogo Angel nyigu naona kakosana nao wanajaribu kumpandisha mwingine
 
View attachment 3269455
Ashurey kwa sasa ndio dancer namba moja wa kike Tanzania.

Vigezo anavyowapita wengine wote.
1. Anajua kucheza style zote za muziki
2. Ni mbunifu
3. Moves zake zinabadilika
4. Anaweza kucheza freestyle
5. Ni trainer mzuri sana
Anakiuno kizuri, ana rangi nzuri, sura nzuri, figure nzuri midomo yake pia mizuri kwenye kunong'onezana.
Bila shaka atakuwa anajua kulia bila machozi na kuzunguka bila kugeuza tumbo na mgongo.
 
Back
Top Bottom