sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
Huyu ndo yupo video ya jeje?View attachment 3269455
Ashurey kwa sasa ndio dancer namba moja wa kike Tanzania.
Vigezo anavyowapita wengine wote.
1. Anajua kucheza style zote za muziki
2. Ni mbunifu
3. Moves zake zinabadilika
4. Anaweza kucheza freestyle
5. Ni trainer mzuri sana
Hapo WCB kuna majungu na ukikosana nao wanapanga mkakati wakushushe wampandishe mwingine.Baada ya WCB kumbania Angel nyigu naona mnampamba mwingine kwa nguvu
Yani ni waharibifu...na Tanzania ukishakua na chawa wako watiifu watakufanyia kazi kama hiziHapo WCB kuna majungu na ukikosana nao wanapanga mkakati wakushushe wampandishe mwingine.
Huyo dada/dogo Angel nyigu naona kakosana nao wanajaribu kumpandisha mwingine
Yaan hatarii tupuuBaada ya WCB kumbania Angel nyigu naona mnampamba mwingine kwa nguvu
Kuna yule demu black sana namuonaga kwenye video mbali mbali za wasanii kama marioo,jay melody,mbosso anaitwaga nani vile,je ni msanii au ni dancer
Anakiuno kizuri, ana rangi nzuri, sura nzuri, figure nzuri midomo yake pia mizuri kwenye kunong'onezana.View attachment 3269455
Ashurey kwa sasa ndio dancer namba moja wa kike Tanzania.
Vigezo anavyowapita wengine wote.
1. Anajua kucheza style zote za muziki
2. Ni mbunifu
3. Moves zake zinabadilika
4. Anaweza kucheza freestyle
5. Ni trainer mzuri sana
Sijui setfibi sijui Mrs energy!Kuna yule demu black sana namuonaga kwenye video mbali mbali za wasanii kama marioo,jay melody,mbosso anaitwaga nani vile,je ni msanii au ni dancer
Mnalenu jambo.View attachment 3269455
Ashurey kwa sasa ndio dancer namba moja wa kike Tanzania.
Vigezo anavyowapita wengine wote.
1. Anajua kucheza style zote za muziki
2. Ni mbunifu
3. Moves zake zinabadilika
4. Anaweza kucheza freestyle
5. Ni trainer mzuri sana
HeheheYani ni waharibifu...na Tanzania ukishakua na chawa wako watiifu watakufanyia kazi kama hizi
PutinKuna yule demu black sana namuonaga kwenye video mbali mbali za wasanii kama marioo,jay melody,mbosso anaitwaga nani vile,je ni msanii au ni dancer
NyokoloPutin