Asigwa kapotelea wapi?

Asigwa kapotelea wapi?

Maghayo

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2014
Posts
20,307
Reaction score
47,210
Ebwana wanaJF Mzuka!

Huyu dogo siku hizi haonekan kabisa humu. Tumemiss uwepo wake na posti zake na michango yake kwa kila jukwaa kwaanzia hum, Jukwaa la siasa, celebrity forums had huko Ugandan news hasa news za bomba la mafuta. Alikuwa anatiririka sana na kushusha nondo za uhakika.
2016-07-31 20.26.24.png
asigwa nini kimekusib? Ni majukumu ama shem kakutait sana ama maandaliz ya kuamia Dodoma? Mbona kimya ama unaumwa (Mungu epusha) Ama unakuja na ID nyingine kama hii lakin nachelea kuamin nazan ni avatar zinafanana.
2016-07-31 20.27.25.png
Tumekumiss sana asigwa
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji144] [emoji144] [emoji144] na mimi nasikia kuna watu wanagonga huko getini security camera inaonyesha kuna landrover nyeupe imepaki, ngoja niende mkiona kimya....! Mkiona kimya...![emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji124]
 
Duh wamekuja na Landrover kwa ule uzi wako wa leo?
 
humu hata mjamii forum mwenzetu akipoteza maisha ni ngumu kumtambua sisi ni wa moja kabisa ila kwenye hoja na misimamo ndo tunatawanyika.
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji144] [emoji144] [emoji144] na mimi nasikia kuna watu wanagonga huko getini security camera inaonyesha kuna landrover nyeupe imepaki, ngoja niende mkiona kimya....! Mkiona kimya...![emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji124]
na wewe kuna siku ulibadilisha avatar picture kwa masaa tu watu tulikuja juu ukaamua faster urejeshe hii hapa tuliyokuozoea. Je na wewe ukipotea humu itakuwaje?
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji144] [emoji144] [emoji144] na mimi nasikia kuna watu wanagonga huko getini security camera inaonyesha kuna landrover nyeupe imepaki, ngoja niende mkiona kimya....! Mkiona kimya...![emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji124]
Wee mshana mbona kama ni Mzee intelligence hiv boss
 
Back
Top Bottom