Ebwana wanaJF Mzuka!
Huyu dogo siku hizi haonekan kabisa humu. Tumemiss uwepo wake na posti zake na michango yake kwa kila jukwaa kwaanzia hum, Jukwaa la siasa, celebrity forums had huko Ugandan news hasa news za bomba la mafuta. Alikuwa anatiririka sana na kushusha nondo za uhakika.
asigwa nini kimekusib? Ni majukumu ama shem kakutait sana ama maandaliz ya kuamia Dodoma? Mbona kimya ama unaumwa (Mungu epusha) Ama unakuja na ID nyingine kama hii lakin nachelea kuamin nazan ni avatar zinafanana.
Tumekumiss sana asigwa