hapana mkuu si hivyo. Asigwa Alikuwa anatuhabarisha current news tena latest hata za ndani huko serekalin na pia hata za udak. Dogo alikuwa smart kwenye posti zake. Hata michango yake ilijitosheleza. Tulikuwa tunamtania halali?mnaleta mambo ya twanga pepeta kupaishana.. wapi papaa andunje
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]mnaleta mambo ya twanga pepeta kupaishana.. wapi papaa andunje
Duh wamekuja na Landrover kwa ule uzi wako wa leo?[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji144] [emoji144] [emoji144] na mimi nasikia kuna watu wanagonga huko getini security camera inaonyesha kuna landrover nyeupe imepaki, ngoja niende mkiona kimya....! Mkiona kimya...![emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji124]
Miss chaga,pretaHuyu jama asigwa na MO11 hawa watu wana maneno ya ajabu sana hata kama umenuna utacheka tu. Vipi na kuna dada anaitwa Mmasai dada yupo wapi nae?
kuna bond flan hivi imetuunganisha licha ya kutofautiana ki hoja na sera japo atufahamiani.humu hata mjamii forum mwenzetu akipoteza maisha ni ngumu kumtambua sisi ni wa moja kabisa ila kwenye hoja na misimamo ndo tunatawanyika.
sijui wameenda wapi? Huenda wanatoka na I'D zingineMiss chaga,preta
na wewe kuna siku ulibadilisha avatar picture kwa masaa tu watu tulikuja juu ukaamua faster urejeshe hii hapa tuliyokuozoea. Je na wewe ukipotea humu itakuwaje?[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji144] [emoji144] [emoji144] na mimi nasikia kuna watu wanagonga huko getini security camera inaonyesha kuna landrover nyeupe imepaki, ngoja niende mkiona kimya....! Mkiona kimya...![emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji124]
Wee mshana mbona kama ni Mzee intelligence hiv boss[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji144] [emoji144] [emoji144] na mimi nasikia kuna watu wanagonga huko getini security camera inaonyesha kuna landrover nyeupe imepaki, ngoja niende mkiona kimya....! Mkiona kimya...![emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji124]