Asigwa kapotelea wapi?

Mshana mbona kama we ni Mzee wa intelligence a.k.a usalama wa twaifa ulivyo ulivyo huwaga sikuamin amin sana
 
Labda R.I.P,,kuna akina K4 LIFE Asigwa,Watu8 nk hawapo hapa siku nyingi.
 
Hahahaaaa mkuu pole
 
na wewe kuna siku ulibadilisha avatar picture kwa masaa tu watu tulikuja juu ukaamua faster urejeshe hii hapa tuliyokuozoea. Je na wewe ukipotea humu itakuwaje?
Ile habari wee acha tu nitakuja simulia kilichotokea [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Asigwa na muanzisha uzi ukute wanajuana,yote kwa yote ni mtu poa ktk upashaji habari humu jukwaani.
 
Huyu jama asigwa na MO11 hawa watu wana maneno ya ajabu sana hata kama umenuna utacheka tu. Vipi na kuna dada anaitwa Mmasai dada yupo wapi nae?
Mimi MO11 ndo kabisa huniacha mweupe sometimes nikiwa nina mawazo vipi nikiona post ya jamaa nachekaga sana yaani anawazaga tofauti na wenzake. Watu kama hawa wanafanya jf iniburudishe nikiingia.
 
Of course kuna vichwa Kama 4 vina-irun JF in daily basis Iazma tuvitambue vikipotea ni rahisi ku-notice Chinchila Coat, Sky Eclat,Asigwa na babalao Mshana Jr madhee mnatisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…