- Thread starter
- #21
hapana mkuu wengi wansonifaham humu hawatakubaliana na weweHako kajamaa kana akili ila ni kituko balaaaa! [emoji14][emoji14] inaweza kuwa ni yeye kaanzisha hii sled!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hapana mkuu wengi wansonifaham humu hawatakubaliana na weweHako kajamaa kana akili ila ni kituko balaaaa! [emoji14][emoji14] inaweza kuwa ni yeye kaanzisha hii sled!
Mshana mbona kama we ni Mzee wa intelligence a.k.a usalama wa twaifa ulivyo ulivyo huwaga sikuamin amin sana[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji144] [emoji144] [emoji144] na mimi nasikia kuna watu wanagonga huko getini security camera inaonyesha kuna landrover nyeupe imepaki, ngoja niende mkiona kimya....! Mkiona kimya...![emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji124]
Miss chaga na Preta utawapata siku Lara 1 akiamgusha story. Au kuwe na mtu na offer za bure ndio utawapata hao😉😀😀Miss chaga,preta
Wee mshana mbona kama ni Mzee intelligence hiv boss
Hahhahahaaaa zamani ndio ilikuwa na soko hii title siku hizi mmhhMshana mbona kama we ni Mzee wa intelligence a.k.a usalama wa twaifa ulivyo ulivyo huwaga sikuamin amin sana
Florah sijui lakini huyo Borat69 alikuwepo kwenye uzi huu juzi jamaa mbishani hataree huyo.
Aah kumbe ni washika dau tu walikuwa wamepotea njia[emoji23] [emoji23] [emoji23]Duh wamekuja na Landrover kwa ule uzi wako wa leo?
Hahaa! Natania tu mkuu! Namjua yule jamaa !hapana mkuu wengi wansonifaham humu hawatakubaliana na wewe
Hahahaaaa mkuu pole[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji144] [emoji144] [emoji144] na mimi nasikia kuna watu wanagonga huko getini security camera inaonyesha kuna landrover nyeupe imepaki, ngoja niende mkiona kimya....! Mkiona kimya...![emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji124]
Ile habari wee acha tu nitakuja simulia kilichotokea [emoji23] [emoji23] [emoji23]na wewe kuna siku ulibadilisha avatar picture kwa masaa tu watu tulikuja juu ukaamua faster urejeshe hii hapa tuliyokuozoea. Je na wewe ukipotea humu itakuwaje?
😀😀😀 unajitafuta mwenyewe mkuu??Hivi Papushikashi nae kaenda wapi?
Haaaa.... Kumbe nipo, basi namshukuru Mungu kwa kuwa mzima😀😀😀 unajitafuta mwenyewe mkuu??
Mimi MO11 ndo kabisa huniacha mweupe sometimes nikiwa nina mawazo vipi nikiona post ya jamaa nachekaga sana yaani anawazaga tofauti na wenzake. Watu kama hawa wanafanya jf iniburudishe nikiingia.Huyu jama asigwa na MO11 hawa watu wana maneno ya ajabu sana hata kama umenuna utacheka tu. Vipi na kuna dada anaitwa Mmasai dada yupo wapi nae?
Cute b naye simwoni mwoni hata Manka Msijui wameenda wapi? Huenda wanatoka na I'D zingine