[emoji23] [emoji23] [emoji23] double replies kwa msisitizoOf course kuna vichwa Kama 4 vina-irun JF in daily basis Iazma tuvitambue vikipotea ni rahisi ku-notice Chinchila Coat, Sky Eclat,Asigwa na babalao Mshana Jr madhee mnatisha
Of course kuna vichwa Kama 4 vina-irun JF in daily basis Iazma tuvitambue vikipotea ni rahisi ku-notice Chinchila Coat, Sky Eclat,Asigwa na babalao Mshana Jr madhee mnatisha
Hahaha hayo glass nyeusiMshana mbona kama we ni Mzee wa intelligence a.k.a usalama wa twaifa ulivyo ulivyo huwaga sikuamin amin sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaha hayo glass nyeusi
Hahaha mkuu unaogopwa kitengo nn[emoji117] [emoji125][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] labda cha ndumba [emoji85] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Hahaha mkuu unaogopwa kitengo nn[emoji117] [emoji125]
Dogo karud shule...yupo kenya anaongeza kisomo...nahs shule ndo imemkip busyEbwana wanaJF Mzuka!
Huyu dogo siku hizi haonekan kabisa humu. Tumemiss uwepo wake na posti zake na michango yake kwa kila jukwaa kwaanzia hum, Jukwaa la siasa, celebrity forums had huko Ugandan news hasa news za bomba la mafuta. Alikuwa anatiririka sana na kushusha nondo za uhakika.View attachment 374068asigwa nini kimekusib? Ni majukumu ama shem kakutait sana ama maandaliz ya kuamia Dodoma? Mbona kimya ama unaumwa (Mungu epusha) Ama unakuja na ID nyingine kama hii lakin nachelea kuamin nazan ni avatar zinafanana.View attachment 374070Tumekumiss sana asigwa
Tangu aende kenya naona maudhurio umu yamepungua sana namuona fb tuEbwana wanaJF Mzuka!
Huyu dogo siku hizi haonekan kabisa humu. Tumemiss uwepo wake na posti zake na michango yake kwa kila jukwaa kwaanzia hum, Jukwaa la siasa, celebrity forums had huko Ugandan news hasa news za bomba la mafuta. Alikuwa anatiririka sana na kushusha nondo za uhakika.View attachment 374068asigwa nini kimekusib? Ni majukumu ama shem kakutait sana ama maandaliz ya kuamia Dodoma? Mbona kimya ama unaumwa (Mungu epusha) Ama unakuja na ID nyingine kama hii lakin nachelea kuamin nazan ni avatar zinafanana.View attachment 374070Tumekumiss sana asigwa
Cute b naye simwoni mwoni hata Manka M
watoto wakike ndo unawakumbuka sanaCute b naye simwoni mwoni hata Manka M
MO11 namfananisha na MKWEPA KODI.Huyu jama asigwa na MO11 hawa watu wana maneno ya ajabu sana hata kama umenuna utacheka tu. Vipi na kuna dada anaitwa Mmasai dada yupo wapi nae?
kwa sasa yupo chini ya "uangalizi" wa wenye nchi kwa tuhuma za uchochezihapana mkuu si hivyo. Asigwa Alikuwa anatuhabarisha current news tena latest hata za ndani huko serekalin na pia hata za udak. Dogo alikuwa smart kwenye posti zake. Hata michango yake ilijitosheleza. Tulikuwa tunamtania halali?
Acha uchurohumu hata mjamii forum mwenzetu akipoteza maisha ni ngumu kumtambua sisi ni wa moja kabisa ila kwenye hoja na misimamo ndo tunatawanyika.