Asigwa kapotelea wapi?

Asigwa kapotelea wapi?

Kuna Mr president pia..
Naamini watu wakibadilika kiitikadi habadilisha na ID zao..
 
Of course kuna vichwa Kama 4 vina-irun JF in daily basis Iazma tuvitambue vikipotea ni rahisi ku-notice Chinchila Coat, Sky Eclat, asigwa na babalao Mshana Jr madhee mnatisha
 
Of course kuna vichwa Kama 4 vina-irun JF in daily basis Iazma tuvitambue vikipotea ni rahisi ku-notice Chinchila Coat, Sky Eclat,Asigwa na babalao Mshana Jr madhee mnatisha
[emoji23] [emoji23] [emoji23] double replies kwa msisitizo
Of course kuna vichwa Kama 4 vina-irun JF in daily basis Iazma tuvitambue vikipotea ni rahisi ku-notice Chinchila Coat, Sky Eclat,Asigwa na babalao Mshana Jr madhee mnatisha
 
Si unajua humu hamna mawasiliano yatakayokuwezesha kufahamu kwa nini Fulani hapatikani?
 
Ebwana wanaJF Mzuka!

Huyu dogo siku hizi haonekan kabisa humu. Tumemiss uwepo wake na posti zake na michango yake kwa kila jukwaa kwaanzia hum, Jukwaa la siasa, celebrity forums had huko Ugandan news hasa news za bomba la mafuta. Alikuwa anatiririka sana na kushusha nondo za uhakika.View attachment 374068asigwa nini kimekusib? Ni majukumu ama shem kakutait sana ama maandaliz ya kuamia Dodoma? Mbona kimya ama unaumwa (Mungu epusha) Ama unakuja na ID nyingine kama hii lakin nachelea kuamin nazan ni avatar zinafanana.View attachment 374070Tumekumiss sana asigwa
Dogo karud shule...yupo kenya anaongeza kisomo...nahs shule ndo imemkip busy
 
Ebwana wanaJF Mzuka!

Huyu dogo siku hizi haonekan kabisa humu. Tumemiss uwepo wake na posti zake na michango yake kwa kila jukwaa kwaanzia hum, Jukwaa la siasa, celebrity forums had huko Ugandan news hasa news za bomba la mafuta. Alikuwa anatiririka sana na kushusha nondo za uhakika.View attachment 374068asigwa nini kimekusib? Ni majukumu ama shem kakutait sana ama maandaliz ya kuamia Dodoma? Mbona kimya ama unaumwa (Mungu epusha) Ama unakuja na ID nyingine kama hii lakin nachelea kuamin nazan ni avatar zinafanana.View attachment 374070Tumekumiss sana asigwa
Tangu aende kenya naona maudhurio umu yamepungua sana namuona fb tu
 
Mheshimiwa nae simuoni siku hizi anaingia Jf kama guest tu wala a log in
 
hapana mkuu si hivyo. Asigwa Alikuwa anatuhabarisha current news tena latest hata za ndani huko serekalin na pia hata za udak. Dogo alikuwa smart kwenye posti zake. Hata michango yake ilijitosheleza. Tulikuwa tunamtania halali?
kwa sasa yupo chini ya "uangalizi" wa wenye nchi kwa tuhuma za uchochezi
 
Back
Top Bottom