View attachment 19828Utadhani siyo mtanzania mwenzao au ameiba kweli huu ni udharirishaji wa hali ya juu!
View attachment 19828Utadhani siyo mtanzania mwenzao au ameiba kweli huu ni udharirishaji wa hali ya juu!
Jamaa aliyenishauri nijiunge na hii forum aliniambia kuwa humu kuna great thinkers who share their ideas and contribution. kwakuwa nataka kujifunza ndio maana niko humu, sasa mkuu nina kosa gani kukurekebisha hapo sijafanya hivyo kwamba mimi mjuaji ila kwakuwa naamini niliowakuta humu wanajua kuliko mimi (wewe mmojawapo)Wewe soma kama unataka kuwa mwalimu sema nikuelekeze wapi wanahitaji walimu!!Naona una hamu!
Jamaa aliyenishauri nijiunge na hii forum aliniambia kuwa humu kuna great thinkers who share their ideas and contribution. kwakuwa nataka kujifunza ndio maana niko humu, sasa mkuu nina kosa gani kukurekebisha hapo sijafanya hivyo kwamba mimi mjuaji ila kwakuwa naamini niliowakuta humu wanajua kuliko mimi (wewe mmojawapo)
Hahahaha!Siku watakapoanza kutumikia wananchi ipasavyo!Hivi ni lini askari na raia wataangaliana kama avatar ya Lizzy Masa?
Hahahaha!Siku watakapoanza kutumikia wananchi ipasavyo!
Vipi ungaLTD kwema huko? wewe haukupata hii brutality ya polisi juzi? naskia ilianzia NMC
Mmh mi nilikimbilia Moshi kujificha!
Hivi ni lini askari na raia wataangaliana kama avatar ya Lizzy Masa?
Yani we acha tu!Alafu kila siku tunadanganyana tuna amani kumbe hata uhuru hatuna!Du, poleni jamani, mmekua wakimbizi ndani ya nchi yenu, police brutality should be banned!!
nimekuelewa mkuuNa ukaambiwa wote humu JF ni waswahili??Hakuna wazaire,wazambia,wakenya,waganda,hivyo unataka kulazimisha kiswahili unachujua wewe nawengine waongee hicho??wasahau lugha zao kwakuwa uliambiwa humu ni great thinker only lna ugha za mawasiliano ziwe moja kiswahili cha kikwele,kizaramo,etc??huyo aliyekushauri,changanya na zakwako utanielewa!