Asikari wa jiji na udharirishaji wanawake!!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,794
Reaction score
9,075
Jiji.jpgUtadhani siyo mtanzania mwenzao au ameiba kweli huu ni udharirishaji wa hali ya juu!
 
Alafu aliemshika mwanamke mwenzake!Wawe wastaarabu kidogo!
 
Hatujui huyu mama alifanya nini halafu itifaki imezingatiwa kwakuwa waliombeba ni wanawake wenzake.
 
Wewe soma kama unataka kuwa mwalimu sema nikuelekeze wapi wanahitaji walimu!!Naona una hamu!
Jamaa aliyenishauri nijiunge na hii forum aliniambia kuwa humu kuna great thinkers who share their ideas and contribution. kwakuwa nataka kujifunza ndio maana niko humu, sasa mkuu nina kosa gani kukurekebisha hapo sijafanya hivyo kwamba mimi mjuaji ila kwakuwa naamini niliowakuta humu wanajua kuliko mimi (wewe mmojawapo)
 
Na ukaambiwa wote humu JF ni waswahili??Hakuna wazaire,wazambia,wakenya,waganda,hivyo unataka kulazimisha kiswahili unachujua wewe nawengine waongee hicho??wasahau lugha zao kwakuwa uliambiwa humu ni great thinker only lna ugha za mawasiliano ziwe moja kiswahili cha kikwele,kizaramo,etc??huyo aliyekushauri,changanya na zakwako utanielewa!
 
nimekuelewa mkuu
 
hamna udhalilishaji hapo kwasababu hao waliombeba ni wanawake wenzie...ndio maadili ya polisi hayo...wangekuwa wamembeba wanaume, lingekuwa jambo lingine.
 
Back
Top Bottom