Asikuambie mtu! Wahaya ni wazuri...

Status
Not open for further replies.
Miss chagga unaendeleaje mama? uchaggani mmetoa mamiss wangapi tunaomba takwimu?
 
Wana shepu halisi za kibantu. Ila sura zero kamanda. Afu uzuri hawana mambo mengi yaani anakupa mchezo asap once tu ukishamtongoza.
 
Kwelii Mkuu hpo Kwa wanyaruanda ndo penyewee...
 
Wana shepu halisi za kibantu. Ila sura zero kamanda. Afu uzuri hawana mambo mengi yaani anakupa mchezo asap once tu ukishamtongoza.
Hahahaha hivi kwa nini inakuwa hivyo jamani?
 
Kwenye kila jamii kuna wanawake wazuri na wabaya pia wapo.
Hivyo sasa hoja yako haina mantiki
 
Umenikumbusha wakati nikiwa kijana,post ya kwanza kazi nikapangiwa kilimanjaro.

Mi ugonjwa wangu kwako mwanamke huwa ni shepu hasa miguu na kifuani.

Ilinichukua takribani mwaka bila kupata demu wa kunisisimua maana asilimia kubwa ya mademu hawa dada zangu akina Manka miguu yao ni mithili ya spoko za bodaboda.

Kidogo nilifarijika baada ya kukutana na mdada wa kimbulu.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…