Asikuambie mtu! Wahaya ni wazuri...

Status
Not open for further replies.
Sababu ya kula ndizi maji a.k.a matoke kila siku [emoji58] [emoji58] [emoji58]
Na ntongo pia wanadai zinalainisha uke
Muhaya apike ndizi asiweke nyanyachungu Wee.
Pia na maji ya kuoshea mchele eti huwa wanayanywa kuwafanya wawe na wora wora

cc: Smart911
 
Mnyamahanga iko kwa passed like shadow,AKENA anataka kumuoa Vicky na kikataliwa na Adyeri na short amot kwa sababu kibao ikiwemo ya kuwa ni mnyamahanga(stranger)
Hata bukoba ipo sana wale watu wakuja wale wanaitwa wanyamahanga
The setting ya passed like a shadow si ni Uganda jamani
The time after maji maji war During Idd Amin's rule..
Uganda na bukoba kuna resemblance fulani nivi

Huoni hapo majimaji war haha ( katerero)

Matoke ( Adyeris meal alichomwaga his little boy atwoki baada ya kumvamia dada yake abook kwa haraka ya kumkimbia his daddy.)

majina kama Tusiime ( Vickys friend who convinced Vicky to put her love on sale and keep on hunting for rich men who will make her live luxurious life and forget the hand to mouth kind of life aliyokua anaishi kwa Adyeri. .
Lol umenikumbusha short amot Tehteh
" what if the eat people at kitangweda lol. I have married a pig '

AKENA failed to marry Vicky because he didn't meet conditions alizopewa na Adyeri wit his drinking mates

Walimwambia bora akose kuleta vyooote ila asisahsu 15 can of waragi ( like kalinya ( gongo) bukoba used to call it) - a traditional made alcohol

cc: Smart911 pita hapa ujifunze kitu
 
Hoteli gani ndugu? Isiwe ulipewa nylon kwa kuwa ulionekana kikojozi?
 
Uko sahihi juu ya setting,lakini interest yang hapo ni hilo neno mnyamahanga...uko vzr mkuu kkumbka matukio kwenye kitabu hongera sana!....

NB:
Lakn kama unachambua kitabu usitumie past tense tumia simple present tense..

Kwa mfani hapo unaposema AKENA didn't marry vick because he failed to meet Adyeri's conditions,it would have been written this way;

Akena does not Marry vicky,because he fails to meet Adyeri's Conditions.ili kuifanya literature isiwe history.
 
Mnyamahanga iko kwa passed like shadow,AKENA anataka kumuoa Vicky na kikataliwa na Adyeri na short amot kwa sababu kibao ikiwemo ya kuwa ni mnyamahanga(stranger)


Pia walimkataa AKENA a munyamahanga person from kitangweda because of
1. Adyeri' s greedy ya kutaka kutajirika kupitia Vicky kwani alikua ameshafuliaaa kazi alishafukuzwa baada ya ile scandal ya kutoka na his concubine aliekua secretary wake -Barungi ( jina la bukoba hili) na kusahau kurudi kwake hata mwezi unapita
Ilhali he is married na yupo katika taasisi ya dini so wakamtimuaa na skendo zake za kupenda wanawake zikazagaa hivo kutopata kazi kokote
So alifuliaaa akauza mashamba hela anahonga na kunywea pombe tu n.k

2. Amoti's jealousy kwamba Vicky asiolewe na rich man ( a trader) na kumzidi yeye alieolewa na Adyeri na kuishi miserable life
 
Hoteli gani ndugu? Isiwe ulipewa nylon kwa kuwa ulionekana kikojozi?
ELCT hotel , Smart hotel..
Lol smart hotel I repeat smart
But nowdays kuna muingiliano sana wa watu tofauti tofauti kwenda bukoba
Mambo yanabadilika sana
Acha dharau wewe
Mi ndokwanza nilikua mgeni mazingira hayo.
 
Kwenye ku relate na real life situations ndo tunatumia simple present
Nadhani kuelezea specific examples from the book we use past tense kama sijasahau
 
Mleta Uzi utakua una inferiority complex.

Ume generalize Uongo Uongo Uongo yaani Uongo, Mara 1000.

Mimi nimeishi uhayani , misenye, Kyaka, MTO Ngono naujua, Bunazi, MTO kagera, Mpaka mutukula, Bugabo. Rwamishenye, na sehemu nyingi Kule bukoba mjini.

Nataka kusema mleta Uzi amebeba ajenda nyingine
 
Me ni muhaya nipo arusha kupata demu wa kihaya ni shida kweli uku tnacheza na visimi vya wasingida, wachaga, wambulu, watanga . wapare na miss kupata wa nyumbani lkn cpati cjui kwa nn arusha wahaya tko wachache
 
Aaaaaaah, mambo yakaterero hayo. umenikumbusha mbalisana mleta mada.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…