Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na ntongo pia wanadai zinalainisha ukeSababu ya kula ndizi maji a.k.a matoke kila siku [emoji58] [emoji58] [emoji58]
Kuna wa karagwe na kamachumuWapo ila wachache nilio kutana nao visu kweli
Wa kamachumu au karagweWahaya ni nusu ya wasomali bhana !!! wapo vema aisee!
Hata bukoba ipo sana wale watu wakuja wale wanaitwa wanyamahangaMnyamahanga iko kwa passed like shadow,AKENA anataka kumuoa Vicky na kikataliwa na Adyeri na short amot kwa sababu kibao ikiwemo ya kuwa ni mnyamahanga(stranger)
Hoteli gani ndugu? Isiwe ulipewa nylon kwa kuwa ulionekana kikojozi?Kwa mara ya kwanza kufika bukoba nilifikia guest make sikuwa na ndugu wala rafiki nayemfahamu huko so nilikutana na malailoni na kulingana na kazi ilionipeleka huko mida mingine tunalala guest Au Lodge kulingana na nature ya zoezi lililokuepo kwa muda huo
Uko sahihi juu ya setting,lakini interest yang hapo ni hilo neno mnyamahanga...uko vzr mkuu kkumbka matukio kwenye kitabu hongera sana!....Hata bukoba ipo sana wale watu wakuja wale wanaitwa wanyamahanga
The setting ya passed like a shadow si ni Uganda jamani
The time after maji maji war During Idd Amin's rule..
Uganda na bukoba kuna resemblance fulani nivi
Huoni hapo majimaji war haha ( katerero)
Matoke ( Adyeris meal alichomwaga his little boy atwoki baada ya kumvamia dada yake abook kwa haraka ya kumkimbia his daddy.)
majina kama Tusiime ( Vickys friend who convinced Vicky to put her love on sale and keep on hunting for rich men who will make her live luxurious live and forget the hand to mouth kind of life aliyokua anaishi kwa Adyeri. .
Lol umenikumbusha short amot Tehteh
" what if the eat people at kitangweda lol.
AKENA failed to marry Vicky because he didn't meet conditions alizopewa na Adyeri wit his drinking mates
Walimwambia bora akose kuleta vyooote ila asisahsu 15 can of waragi ( like kalinya bukoba used to call it) - a traditional made alcohol
cc: Smart911 pita hapa ujifunze kitu
Mnyamahanga iko kwa passed like shadow,AKENA anataka kumuoa Vicky na kikataliwa na Adyeri na short amot kwa sababu kibao ikiwemo ya kuwa ni mnyamahanga(stranger)
Wahangaza kwa mvuto!! Si wa mchezo mchezo!!Sisi wahangaza tumewazidi sana mbona....sema sisi atuna fyokofyoko za katelelo.
ELCT hotel , Smart hotel..Hoteli gani ndugu? Isiwe ulipewa nylon kwa kuwa ulionekana kikojozi?
Kwenye ku relate na real life situations ndo tunatumia simple presentUko sahihi juu ya setting,lakini interest yang hapo ni hilo neno mnyamahanga...uko vzr mkuu kkumbka matukio kwenye kitabu hongera sana!....
NB:
Lakn kama unachambua kitabu usitumie past tense tumia simple present tense..
Kwa mfani hapo unaposema AKENA didn't marry vick because he failed to meet Adyeri's conditions,it would have been written this way;
Akena does not Marry vicky,because he fails to meet Adyeri's Conditions.ili kuifanya literature isiwe history.
Chehi sio fyoko fyoko ni tsitsitsiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiUmetisha apa "umuchiro yantera utumaizi"fyoko fyoko fyoko