[QUOTnjiani isha pesa, post: 19408159, member: 337410"]Hiyo sehemu katerero maji uliyaona wapi ya mto gani wakati watu wana shida ya maji pale. Mimi nimesoma Kashozi sec iko pale kuna shida ya maji sana[/QUOTE]
Pale njiani kwenye kibao kilichoelekeza katerero ukifika kyetema pale kwenye Yale sijui niyaite miti sijui ni majani ambayo wahaya huwa mnatengenezea vigala maji hayakaukagi pale.. Pia hayo majani ya vigala yanapatikana mto ngono huko muleba ambapo maji fuluu. Ulimsikiliza muheshimiwa majuzi alipokua anatoa hutuba pale ihungo sec?? Alisemaje kuhusu bukoba ukimwi katerero mto ngono na...... Ngoma???