Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ana Hummer, Range Rover Sport, Land Cruiser VX, Benz, kasuzuki kadogo na gari gani sijui ile
mkuu tumsubiri majibu ya waziri.Mkuu watu waliokata tama wanatoa hela bila kufanya calculationN haya mafanikio ndio sababu ya Kigwangala na Mange kumfuata fuata, Kigwangala kabaki na umaarufu wa siasa lakini hana la maana, jamani kama Mwaka angekuwa hajasaidia wanawake wakafanikiwa, asingekuwa na wateja, na kama tatizo ni garama wanaokwenda wanazimudu, mbona garama za kuzalishwa ziko tofauti hospital na hospiatal? Hta shule zina kiwanho tofauti? Angekuwa na huduma zisizo na manufaa kwa jamii tusingekuwa tunamjadili hapa.
mkuu tumsubiri majibu ya waziri.Mkuu watu waliokata tama wanatoa hela bila kufanya calculation
N haya mafanikio ndio sababu ya Kigwangala na Mange kumfuata fuata, Kigwangala kabaki na umaarufu wa siasa lakini hana la maana, jamani kama Mwaka angekuwa hajasaidia wanawake wakafanikiwa, asingekuwa na wateja, na kama tatizo ni garama wanaokwenda wanazimudu, mbona garama za kuzalishwa ziko tofauti hospital na hospiatal? Hta shule zina kiwanho tofauti? Angekuwa na huduma zisizo na manufaa kwa jamii tusingekuwa tunamjadili hapa.
hata mimi najiuliza maswali kuhusiana na hilo, kama tatizo ni ilegal business, aliempa kibali ni nani kama si serikali yenyewe? shule wanazosoma watotot wetu just a baby class tunalipa million 4 kwa mwaka, basi serikali ingefunga na shule za namana hii tujue nchi yetu only publice sectors ndio zinaoperate,
wamwache, wanaoenda hawajalazimishwa na hakuna aliewahi kuripoti damage yeyote, sasa why now?
mkuu Mtende hapa ndipo ujue asilimia kubwa ya viongozi wetu wanataka madaraka wapate kujilimbikizia kipato waew miungu watu, hili swala ni wivu tu wa Kigwangwala hakuna lingine, kuna watu kibao wanatoa tiba tena kwenye mazingira machafu hawashughulikiwi why Dr. Mwaka? Suala la uzazi ni nyeti sana watu wakubwa na viongozi wao wengi wakiwa na tatizo huenda nje ya nchi kwa matibabu tena wengi hunda kupandikizwa mbegu ili wafanikiwe kupata watoto, huko waendako bei ni nafuu kuliko za mwaka? Maduka yamejaa vyakula vilivyokwisha muda na TFDA huwa wanavichukua na kuviteketza lakini hawafungi maduka kwa nini Dr. Mwaka? Kuna jambo huyu Kigwangwala labda alikuwa na uhusiano na Mange ndio maana amekwenda resi kwa Mwaka baada ya kupeana habari, tena hawa watu ni marafiki FB. itakuwa kapewa oda na Mange nae kaenda resi, Mange hampendi Diamnond kwa kumpiga chini wema, amemsakama sana Zari, sasa Diamond kuweka tangazo la Dr. Mwaka kwenye wimbo ndio limeibua yote haya, aibu, aibu kwa waziri kufanya kazi ya kijinga kama hii, halafu kupayka eti dr. mwaka kamkimbia wakati hakuwepo hospital, na yeye kigwangala anajisifu ilikuwa ziara ya kushtukiza sasa amekimbiwaje kama hakumpa taarifa na wala hakuomuona mwaka anakimbia? Kuna majipu lakini hili la mwaka uongo mkubwa, hospita l za serikali kila siku zinaua, kwa Dr. Mwaka kuna mgonjwa aliepoteza maisha kwa huduma zake? Huu ndio wivu wa Kike tena kwa visichana ambavyo bado havijakua. Ashughulike na masuala ya msingi kama ya kuharibika hovyo mashine huko muhimbili mbona hospial binafsi haziharibi kila siku?hata mimi najiuliza maswali kuhusiana na hilo, kama tatizo ni ilegal business, aliempa kibali ni nani kama si serikali yenyewe? shule wanazosoma watotot wetu just a baby class tunalipa million 4 kwa mwaka, basi serikali ingefunga na shule za namana hii tujue nchi yetu only publice sectors ndio zinaoperate,
wamwache, wanaoenda hawajalazimishwa na hakuna aliewahi kuripoti damage yeyote, sasa why now?