Asikwambie mtu baba Yanga Tamu!

Asikwambie mtu baba Yanga Tamu!

Kwa Yanga hii kuna kikundi cha wahuni kitafukuza makocha sana😉😉
 
Mshindani wetu wa kugombea ubingwa azam mmeona tulivyomdhalilisha juzi,siioni mikia ya kutusumbua msimu huu
Tumechi 4 tu yani 4 tu mnajiona mabingwa hahahhahahaha yaani nawaonea huruma maana mtalia na kusaga meno ubingwa msahau
 
Back
Top Bottom