Asikwambie mtu bwana raha ya ndoa muishi uswahilin

Raha ya mapenzi hio hahahahah, mnasema jirani mmoja halafu mnatiana. Aisee natamani kuoa jamani! Mungu anipe uzima tu jamani.
 
Watoa mada kama hawa walipaswa kuwa wanawake, ama wanavinasaba vya kike na kama sivyo basi ni mashoga!
 
Mkuu kwa hiyo unapenda mkeo awe 'Golikipa' asijishughulishe na chochote?? is it fair kweli???

Halafu mkuu inaonesha unapenda sana UMBEA WA USWAHILINI HAHAHA
Hata me sipendi mke wangu ajishughulishe yeye akae tu home kila kitu nitaleta mm ndo Mungu anataka hivyo
 
MWANAUME MPENDA UMBEYA NI SHOGA.

Nakushauri uwe mpole sku ukipata umbeya kuwa, ukienda job njemba muuza sura anaingia kwako
 

NA AKILIWA NA WAZEE WA KIZARAMO URUDI KUTUPA MREJESHO
 
Sema tu huna uwezo wa kukaa Masaki...

Huo muda wa kupewa umbea unapata wapi na umerudi kazini umechoka!???
BTW hebu mtaftie mke wako kazi ili kipato ndani ya Familia yenu kiongezeke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…