Asikwambie mtu bwana raha ya ndoa muishi uswahilin

Asikwambie mtu bwana raha ya ndoa muishi uswahilin

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
19,976
Reaction score
32,195
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana

Kama kichwa cha habar kinavyojieleza hapo juu


Ebhana ee asikwambie mtu bhana raha ya ndoa ish uswahilin mtu wangu alafu mkeo awe mama wa nyumban unapofika mda wa kulala unapewa umbeya wote kitandan kabla hujamega tunda la usiku


mara mwajuma kafumaniwa na muuza maziwa

Ashura mchaluko kashindwa kurejesha rejesho vicoba makoch yake yametaifishwa

Mama mwenye nyumba leo alinivalia kanga ya mafumbo na akaniwekea kanda ya mipasho

Baba tunu chumba cha pili ana siku ya tano hajarud kwa mkewe


Kidawa naye kila akipika ugali mboga anaenda kuazima kwa mama sudi


Baada ya umbeya huo unapiga mambo, yaan unapiga tunda kiroho safi huku ukiwa ushapewa maumbeya ya kufa mtu


Sasa naanzaje kuhamia masaki nabaki kwa mtogole hapa hapa


LONDON BABY
 
Mkataze mwanamke aliefundwa huezi kumkalisha mumeo chini na kumpa habari za umbeya mumeo kwanza no mwiko kuna badhi ya mambo ya akinamama tunatakiwa tubakiwe nayo wenyewe
Siwez kumukataza mke wangu ananipenda sana kwahiyo hunambia yote
 
Ukiona hivyo ujue hata mkeo habari zake zinasimuliwa mtaani wa pili "unajua mke wa yule bitoz anayejiita London baby anamengwa na yule dogo dj wa vigodoro" Hahahaaa uswahilini kuna vitako...
Hahaaaa we jamaa bhana et mke wa bitoz london baby
 
Mkuu kwa hiyo unapenda mkeo awe 'Golikipa' asijishughulishe na chochote?? is it fair kweli???

Halafu mkuu inaonesha unapenda sana UMBEA WA USWAHILINI HAHAHA
 
Back
Top Bottom