Hiyo ni sawa Na Makuyuni.Mkuu Idmi Tukuyu ninayo ifahamu mimi inatokana keli na miti ya mikuyu, kama ulivyoelezea vizuri.Hata hivyo jina la mji wa Tukuyu ina tokana na hiyo hiyo miti ya Mikuyu ambayo Kinyakyusa inaitwa Mikuju, Tukuyu hadi leo kwa mwenyeji wa pale inaitwa TUKUJU kutokana na asili ya miti hiyo.

aziz ali ni IGP MSTAAFU?Hapo kitambo mitaa ya MwanaNyamala kulikuwa na mapori na wakabaji, kwa hiyo kina mama wa kizaramo walivyokuwa wakifika mitaa hiyo wakawa wanawaambia watoto wao "Mwana Nyamala" maana yake "Mtoto Nyamaza" ili wasisikiwe na maharamia.
Kijito Nyama inawezekana ina uhusiano na Mwana Nyamala, kwamba unavuka kijito ukifika upande wa pili huko "Mwana nyamala" Nyamaa == Kijito Nyamaa mwisho ikawa Kijitonyama.
Mtoni kwa Aziz Ali pamepata jina kutokana na mkazi mmoja alwatani sana marehemu Aziz Ali. Mzee huyu alifariki miaka kadhaa iliyopita kukawa na kesi kubwa sana ya urithi kati ya wanawe.
[emoji33]Inaitwa KOROMIJE...
Jina la hiki kijiji limetokana na wasukuma kushindwa kutamka jina la mzungu mmoja alikuwa anaitwa Jonathan...
Alikuwa na kisima cha maji pale kijijini, kila Wakija kuteka maji asubuhi wanamkuta kalala...
Wakawa wanamind na jina likawa linawatatiza... Ndo akawaambia "Call me J" yaani muwe mnaniita J... Wao wakaita KOLOMIJE ikawa ndo jina la kijiji hicho
Hiyo itakuwa sawa tu kwa kumbukumbu yake bar na guest.atapata habari huko alikokimbilia.soon kuna Bar zitaitwa Kolomije Bar & Guest House