Asili ya binadamu kujipendekeza na kutaka kukubalika hata na watu wasiomjua

Asili ya binadamu kujipendekeza na kutaka kukubalika hata na watu wasiomjua

Mikopo Consultant

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2024
Posts
2,375
Reaction score
4,784
Tangu juzi naangalia status za whatsapp za watu hapa kazini, kama watu sita hivi wamempost Makamu wa Raisi Mteule, Deo Ndejembi. Sasa nakuwa najiuliza, una mposti mtu ambaye hata hakujui ili iweje? Unampostia nani? Unamjulisha nani ambaye hajapata hizo taarifa kwamba Makamu wa Rais Mteule ni Deo Ndejembi?

Ni wakati wa watanzania kubadilika; tuache uchawa na shobo! Yapo mambo mengi ya kutaarifiana lakini sio haya ambayo ni public yanajulikana na kila mtu.
 
Kama ni ofisi ya chama cha mapinduzi lazima wampost kuonyesha upendo na mshikamano
 
Waache watu waenjoy mkuu,
Huenda wewe unataarifa ila viewers wenzio hawana
 
Tatizo la wafuasi wa CHadema ni kulazimisha mapenzi yao na wanachokiamini. Hili linawaumiza sana hata kwa vitu vidogo ikiwemo hili la mtu kuweka status za Makamu wa Rais.
 
Mkuu Mzazi wangu anaishi kule nakwenda sana.Jamaa wameweza kutengeneza kizazi Cha kizalendo sijui wamefanyaje?.Tanganyika ni Janga kuu.
Wale jamaa watatofautiana kwenye vitu vingine, lakini kwenye suala la nchi yao wanaungana wote. Sijui walifanyafanyaje aisee!
 
Back
Top Bottom